Chama cha Mapinduzi, mnaogopa MAPINDUZI? Mnatuonaje watanzania?

Chama cha Mapinduzi, mnaogopa MAPINDUZI? Mnatuonaje watanzania?

Ex Spy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2007
Posts
333
Reaction score
2,838
Nilitarajia chama hiki cha MAPINDUZI kutokuwa na mashaka na Mapinduzi kwani ndiyo asili ya chama hiki.

Inakuwaje panic mode imekuwa activated kwa kiwango kikubwa namna hii?

Mna povu sana kwa sasa, what went wrong with this “revolutionary” party?
 
Kilimpindua nani Tanganyika, tuanzie hapo.
 
Back
Top Bottom