Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii nchi hasa CCM ni kama haina wanamipango madhubuti. CHadema wamewazidi kistratejia, waliamua kuwa wapole, wakawatulia mzigo wananchi na gen Z. Hili lilipaswa kuonwa mapema sana. Ufedhuri wa...
9 Reactions
16 Replies
485 Views
Mpaka leo kuna hasira kubwa ndani ya mioyo ya Watanzania. Baada ya hawa viongozi kufariki.
1 Reactions
7 Replies
450 Views
Sote tumeona uzalendo na utendaji KAZI mzuri wa jeshi letu la Polisi, tumeona kujituma kwenu katika kulinda na kutetea Mali zetu zisiibwe au kuharibiwa na majangiri kwa kivuri Cha maandamano...
1 Reactions
29 Replies
818 Views
Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na jeshi la Polisi Tanzania, kuanzia utekaji, mauaji ya maelfu ya wananchi, na Ufukiaji wa miili ya watu waliowaua; Hatua ya kwanza, ni vema Baraza la Usalama...
8 Reactions
9 Replies
401 Views
Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi? Je akilazimisha amzidi Magufuli...
1 Reactions
5 Replies
320 Views
Hii sio juu yako. Utaharibu Kila kitu. Hehehee! Wenzako wakutafuta uvumba. Bakia line yako. Najulishwa hapa zoezi litashindika kwa muda huo. Mayi pandisha bendera juu ya paa. Siye twaiona...
5 Reactions
13 Replies
625 Views
Toka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid...
-2 Reactions
29 Replies
698 Views
Kwahiyo tumeanza kupangiana cha kufanya kwenye magroup au sio? ============= Jeshi la Polisi mkoani Geita limewataka viongozi wa makundi Whatsapp kuchukua hatua madhubuti kudhibiti usambazaji wa...
0 Reactions
0 Replies
184 Views
  • Featured
Marekani inathamini ushirikiano wake wa muda mrefu na watu wa Tanzania, ambao umeleta ustawi kwa wananchi wetu na usalama katika kanda hii. Hata hivyo, hatua za hivi karibuni za Serikali ya...
37 Reactions
138 Replies
7K Views
Tunataka haki ya kuabudu, Tunataka haki ya kuajiliwa PASPO UPENDELEO Tunataka katiba mpya Tunataka Rais Samia amalize Muda wake wa miaka 9. Tunataka msemaji wa serikali hasitole tbc1 awe nguri...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Kwa mfano, nasema kwa mfano! Tundu Lisu afutiwe mashitaka yanayomkabili, mwanasheria mkuu wa serikali atoe hoja ya kutunga sheria ya kuunda serikali ya mseto, wabunge wote waridhie, Rais asaini...
16 Reactions
59 Replies
2K Views
Kuzuia watumishi wa umma, waajiriwa wa serikali na wanachuo kujadili mstakabali wa nchi yao kwenye nyanja ya kisiasa, kwa kisingizio cha kutochanganya masomo na siasa, kazi na siasa; huo ni...
4 Reactions
9 Replies
259 Views
Wabara ni watu wenye urafiki, usio kujali dini ya mtu. . Bara ni kawaida sana wacha mungu wa dini tofauti kuwa mabesty. Bara muislamu hana shida akimpigia simu rafiki yake katikati ya week...
12 Reactions
55 Replies
1K Views
Wanatuita sisi waandamanaji vibaka wakati wamepora uchaguzi sio tu uchaguzi hadi uhai wa watanzania wenzao sasa hizi ni akili. Yamebaki masaa machache sana pakuche tukinukishe vibaya sana.
0 Reactions
2 Replies
106 Views
RAIS Samia alikuwa MAKAMU MWENYEKITI WA SPIKA WA BUNGE la katiba je Anaikataaa rasmu ya warioba? Ile rasmu Kikwete alijua kabisa warioba na Hayati Samweli Sitta waliisha amua kuibadili nchi...
1 Reactions
1 Replies
188 Views
Kipindi hiki ubabe haujengi, unabomoa. Unaweza kuilinda nchi nchi kwa diplomasia na wànanchi ambao ndio wenye nchi!
1 Reactions
10 Replies
498 Views
Najua wapo wanataman mabadiliko ila hawako tayari kujitolea hata ikibidi uhai wao, sasa kama ni hivyo, wewe tusaidie kuchukua matukio hasa kuonesha sura zao hao wahuni wenye silaha. Hii haiwezi...
13 Reactions
15 Replies
532 Views
Viongozi wetu walijisahau sana watu walikuwa wanatekwa Kila baada ya muda mfupi Yani utadhani mfuga kuku anachagua kuku wa kuchinja bandani kwake. Na viongozi hawakuonyesha kushtushwa hata kidogo...
12 Reactions
16 Replies
470 Views
Hawa jamaa wanashangaza sana. Juzi walitoa tamko ya kuwa wanapiga marufuku maandamano kwa sababu walioyapanga hawako nchini. Wakati huo huo wanatangaza kukamata vijana kadhaa kwa kuratibu...
12 Reactions
12 Replies
421 Views
Kundi la Wasanii kutoka Arusha, maarufu kama 'Wadudu Official', limetoa wito mahsusi kwa Serikali kusikiliza madai yao kwa uwazi, weledi na kupitia majadiliano yenye heshima ili kuepusha...
1 Reactions
1 Replies
228 Views
Back
Top Bottom