appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,934
- 3,253
Asalamaa aleikuh
Bwana yesu asifiwe
Natumai wote ni wazima kuelekea siku ya ukomboz ambayo ni kesho
Ningependa kuwausia machache wala si mengi kama waraka wenu kwenye
Kesho ni siki kubwa ya kuanza maisha mapya ya hofu na kutawaliwa kama watumwa na mkolon au siki ya heshima tarehe 29 ndugu zetu walikufa lakin nadhan mnaona faida yake heshima imekuja kubwa heshima inaonekana mbele ya wana ccm kwa wale waliokia wanawanga na kuuwadharau kama sio watanzania sasa wana waheshimu
Heshima imeonekana kwa maafisa wa polis kama kina mulilo na nk hawana tena lugha ya vitisho
CCM n viongozi wao wamegawanyika wanafikiria upendo na aman na umoja wa kitaifa na kuacha ufisad sababu ya matokeo ya 29 oktoba
Chonde chonde mtanzania hata kama wewe ni muoga wa kuingia kat kat ya barabara toka tu had barabaran au kibarazan kwako uongeze wing ujumbe utakaotuma kwa watawala kwa kutoka kwako tu bila kufanya chochote utazaa hofu kubwa kwako
Tupo kwenye mstar wa maisha ya haki na usawa au maisha ya hofu na kutawaliwa ili tuuvuke huo mstar ni kesho au tuendele kuish maisha haya haya ni huo mstar wa kesho tuuvuke mstar huo hata kwa uoga tu we toka tuwe weng likipigwa bomu rud ndan polis wakiondoka toka tena mpaka mabomu yaishe kuonesha tu hatukubalian nao na tuna umoja
Mikoa yote tutikoka na kusimamisha nch watawala watatuheshim maana wanatudharu sanaa siai ndio mabos wao tunawaajili kila baada ya miaka mitano wanakuja kwetu kutuomba kura kwa upole
Wakipata wanakuja jeur kesho ni siku ya kukomesha ujeur huo
Hofu imetawala mioyon mwao wanajua sisi ndio wenye nch tukikataa tumekataa hata watumie nguvu gan nguvu ya uma ndio ya mwisho vitisho walivyotumia tarehe 29 ndio silaha yao ya mwisho zaid katika hifadh yao ya silaha hawana kitisho kingine zaid ya kile leo hii askar wamekimbia nyumba zao wameondoa familia zao wanaenda kazin huku wamebeba sare kwenye mabegi
Msiogope mwanga mwema uko mbele yenu mimi nitashiriki ukomboz wa tanzania yangu kesho kama mtapuuzia siku ya kesho tunaenda kutawaliwa tena na mkolon kutoka jiran maana wana ccm wengi wamestukia tetes mnazozisikia kuhusu full beki ya namungo ni kweli kabisa yuko kizuizin na hata kuhusu mipango sio matumiz ni kwel kabisa na wako weng walioumia na mauaji ya watanganyika wenzao vifua vyao vimeahindwa kuhimili maumivu wamepania sana siku ya kesho uwanja ni wenu hakuna wa kuwazuia mkolon katengwa na kila mtu