Kitivo cha Sheria JF!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitivo cha Sheria JF!!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by MaxShimba, Oct 20, 2008.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Wakuu wa JF

  Is there any posibilities of having legal department here at JF? Kiwe kitengo cha kuzungumzia Sheria mbalimbali ili tuweze kuleta Mawakili, Majaji Mbalimbali kwenye forum hii ya JF. Natanguliza shukrani.

  God bless JF

  Max Shimba
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Yap, it will help alot. Legal ndio mwendo wenyewe hivi sasa, kila unapokwenda unaulizwa kama unawakili.

  I think they should put this into consideration.

  Thanks Max for your vision

   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Oct 20, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Working onto it... Kuna Forum ya Science and Technology iko under construction, hizi zinaandaliwa mazingira tofauti. Tupe muda tu!
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Hapo hapo mkuu ndio penyewe....jamani tatizo langu mie ni sheria..tu
  uku tunakamatwa kamatwa bila mpango kwa kutojua haki zetu....

  Keep it up and let it run.
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hapo tuta enjoy sana. Wako wenzetu wakina Agustoons watatusaidia hapa kwa habari za legal issues. Tutajenga kesi na kuwasaidia watu katika haki zao.
  Mungu akubariki Max
   
 6. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Ni kweli kabisa. Naamini jukwa hilo litakuwa msaada mkubwa kwa watu wengi kimaisha. Maana siku hizi bila sheria mafisadi watatumakiza.

  Ubarikiwe Mkuu Max


   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2008
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,507
  Trophy Points: 280
  Sasa ndio JF inafanya mapinduzi ya kweli ya kumsaidia Mtanzania.
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160

  Ni kweli mkuu, tunahitaji mapinduzi ya sheria.

   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Oct 21, 2008
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Haya majukwaa inabidi yakianzishwa yawe na uendeshaji tofauti na yanahitaji moderators wake maalumu, ndio maana tunajiandaa badala ya kukurupuka kuyaanzisha. Tupeni wiki hii tu
   
 10. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #10
  Feb 26, 2009
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Tumeanzisha hili jukwaa rasmi, naomba litumike kuwaelimisha wengi basi.

  Namna yoyote ya kuingiza mijadala isiyoendana na jukwaa hili haitavumiliwa.
   
 11. Piemu Esquire

  Piemu Esquire Member

  #11
  Feb 26, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka Msomi tena hapa..........mmmmhh....
   
Loading...