From horse's mouth: Jee ni sheria ya kiislamu?

Gozigumu

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
254
3
Hii ni kuonyesha kuwa Wasaudi wanatumia mila zao na sio sheria za Kiislamu. Angalia jinsi wenyewe wasivyoridhika na mchanganyiko huu.
 
Attachments

  • Case of 75 Years Old Women In Jeddah.jpg
    Case of 75 Years Old Women In Jeddah.jpg
    138.7 KB · Views: 117
  • Case of 75 Years Old Women In Jeddah 2.jpg
    Case of 75 Years Old Women In Jeddah 2.jpg
    24.8 KB · Views: 88
wasaudi ni wapuuzi sana, hii haihusiani na dini kabisa,ni unyanyasaji wa wanawake tu.
 
Naona mnachanganya mila na dini ,sijaisoma hiyo habari yote lakini naona ni mambo ya mila na desturi zao ambazo kwa kiasi fulani zimechanganyika na dini na hatari zaidi kwa upande wa Pakistani hadi kwenye milima ya Afghanistani kwenyewe huko usije ukapeleka jicho kwenye nyuma ya mtu ,wanapenda sana kuweka mapazia milangoni sasa jamaa aje kukusitukia unakodoleakodolea macho ndani , kama hakutoka na smg anatoka na panga la aina ya nike wanayoyatumia kupalilia cocca ,hakuulizi akikuwahi anakumaliza na jawabu atakalowapa watu litakuwa ulikuwa unapiga chabo.
 
wasaudi ni wapuuzi sana, hii haihusiani na dini kabisa,ni unyanyasaji wa wanawake tu.
si wapuuzi hata kidogo wapuuzi sisi Wtz tunawapandisha wanawake majukwaani wakakata viuno wakiwa karibu uchi, wapuuzi sisi watz tunajidai kuwatafutia haki wanawakea huku miili yao tukiitumia karibu kila tangazo la biashara kujitaftia faida, mbona mtu mkewe hamuajiri akakatike kiuno mbele jukwaani akiwa nusu uchi? wenzetu wanajaribu kutunza utu wa mwanamke usitumiwe vibaya na wanaume washenzi, unajuaje kama wale vijana walikuwa wanataka kumfanyia ufukunyuku yule bibi,mke wa mtu?
 
Shafik Rashid mfanyabiashara adai kwamba kijana aliyempiga Mzee Mwinyi alikuwa anatetea Uislam, naomba Waislam mtupe ukweli. Ni utetezi wa dini au ni ukosefu wa adabu??
 
Mbona huwasemi hata wanaume wanaokatika na wengine wanaovaa mitepesho karibu na suruali zao kuanguka chini kwani hao wanavaa 'freshi' kwa mtazamo wako?
 
Shafik Rashid mfanyabiashara adai kwamba kijana aliyempiga Mzee Mwinyi alikuwa anatetea Uislam, naomba Waislam mtupe ukweli. Ni utetezi wa dini au ni ukosefu wa adabu??

Apparently, huyo kijana ni mwenye maadili ya dini na hata nimesikia ameshaahidiwa vitu kadhaa kama 'thawabu' kwa kufanya 'tendo la fadhila' kama hilo. Hivi ndivyo nilivyosikia.

Tuwaachie Waislamu wenyewe watuelimishe kwa hili ingawa mimi niliuliza katika moja ya posts zangu lakini sijajibiwa hadi leo hii.
 
Back
Top Bottom