Move to remove law that bars Catholics from marrying into British royal family

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233

Move to remove law that bars Catholics from marrying into British royal family

Robert Winnett, TELEGRAPH,
London
March 27, 2009

BRITISH Prime Minister Gordon Brown has opened talks with Buckingham Palace on removing the 308-year-old law that bars members of the royal family from marrying Catholics.

Discrimination against female heirs to the throne would also be scrapped under proposals expected to be introduced next year. If the law was to be made retrospective, the Princess Royal, Princess Anne, would move ahead of the Duke of York, Prince Andrew, in the line of succession.

Members of the royal family are forbidden by the Act of Settlement from converting to Catholicism or marrying a Catholic unless they agree to removal from the order of succession. Male members of the royal family take precedence over their female relatives, putting the Princess further down the line of succession than her younger brothers and their children.

The Prime Minister is understood to be in favour of overhauling the laws on succession, and Buckingham Palace is thought to be open to the plans.

Two of the main impediments — the need to secure the consent of the Commonwealth, and concerns about the monarch's status as head of the Church of England — have been discussed.

The marriage rule began during the Glorious Revolution of 1688, when the Catholic King James VII and II was overthrown in favour of the Protestant William of Orange. The prohibition is enshrined in the Bill of Rights passed that year, and the 1701 Act of Settlement.

Rewriting that act requires the consent of all 53 Commonwealth countries, and Mr Brown hopes to discuss the proposal at the Commonwealth summit in November. He has already held private talks about his plans with some of the countries' leaders.

Sources close to the Prime Minister said the monarch would retain the role of head of the Church of England.

During Queen Elizabeth II's reign, two members of the royal family, Prince Michael of Kent and the Earl of St Andrews, have renounced their rights of succession after marrying Catholics.
 
Ndiyo, hawa watu ni conservative sana na katika miaka ya 1930 kuna mfalme mmoja wa Uingereza (Edward VIII) aliutema ufalme ili amwoe Mmarekani Mkatoliki, Walis Simpson ambaye pia alikuwa mtaliki. Hebu fikiria wakati huo Dola ya Uingereza (British Empire) ilikuwa imetanda dunia nzima na ilikuwa inatajwa kwamba jua lilikuwa halitui mahala popote bendera ya Union Jack ilikuwa inapepea -- yaani popote ilikuwa mchana. Halafu mtu anatema ufalme sababu ya mwanamke tu!

Lakini hata hivyo -- ikiwa wanapanga kuruhusu watu wa ukoo wa mfalme aoe au aolewe na Mkatoliki bila ya kuathiri succession order, jee, si waende mbali zaidi na kuruhusu Waisilamu pia?

Tukio la miaka 12 iliyopita la kifo cha Prince Diana na Dodi El-fayed (Muisilamu) linatukumbusha umuhimu huo. Kuna wengi wanaamini kwamba ajali yao ilipangwa ili kitu cha namna hiyo kisitokee katika ukoo wa kifalme wa uingereza.
 
mmmmmmmmmmh mkuuu kuruhusu wwaoane na Muslim itakuwa ngumu. Siunajua UK ni nchi ya kanisa. Hivi inawezekana wakuu wa nchi za Kiislam kuoa mkristo??????? ndivyo ilivyo UK
 
Ndiyo, hawa watu ni conservative sana na katika miaka ya 1930 kuna mfalme mmoja wa Uingereza (Edward VIII) aliutema ufalme ili amwoe Mmarekani Mkatoliki, Walis Simpson ambaye pia alikuwa mtaliki. Hebu fikiria wakati huo Dola ya Uingereza (British Empire) ilikuwa imetanda dunia nzima na ilikuwa inatajwa kwamba jua lilikuwa halitui mahala popote bendera ya Union Jack ilikuwa inapepea -- yaani popote ilikuwa mchana. Halafu mtu anatema ufalme sababu ya mwanamke tu!

Lakini hata hivyo -- ikiwa wanapanga kuruhusu watu wa ukoo wa mfalme aoe au aolewe na Mkatoliki bila ya kuathiri succession order, jee, si waende mbali zaidi na kuruhusu Waisilamu pia?

Tukio la miaka 12 iliyopita la kifo cha Prince Diana na Dodi El-fayed (Muisilamu) linatukumbusha umuhimu huo. Kuna wengi wanaamini kwamba ajali yao ilipangwa ili kitu cha namna hiyo kisitokee katika ukoo wa kifalme wa uingereza.

Mwislamu gani atakubali kuoana na Mkristo bila kumbadilisha dini? Itawezekana kweli? Ila namfahamu padre mmoja hapa Dar es Salaam (Msgr Mbiku - a very learned fellow) nasikia wazazi wake ni Waislamu na mara tu ya kupata upadrisho eti aliwajengea mskikiti. Kama ni kweli, basi familia yao ina uelewa mzuri wa dini.
 
Ubaguzi huo miaka yote hawakuwa wanayajuwa?

Of course, inaweza kuchukua miaka mingi lakini kwa vile wameweza kubadilika tushukuru. Sasa tusianze tena kurudi nyuma kwa nini miaka hiyo yote hawakubadilika. Jibu ni kwamba wamebadilika.
 
Nilivyoelewa mimi ni kuona kati ya Anglican na Catholic. Madhehebu yote mawili ni ya Kikristo, hamna nafasi kwa Waislamu na pia haiwezekani.
 
Ndiyo, hawa watu ni conservative sana na katika miaka ya 1930 kuna mfalme mmoja wa Uingereza (Edward VIII) aliutema ufalme ili amwoe Mmarekani Mkatoliki, Walis Simpson ambaye pia alikuwa mtaliki. Hebu fikiria wakati huo Dola ya Uingereza (British Empire) ilikuwa imetanda dunia nzima na ilikuwa inatajwa kwamba jua lilikuwa halitui mahala popote bendera ya Union Jack ilikuwa inapepea -- yaani popote ilikuwa mchana. Halafu mtu anatema ufalme sababu ya mwanamke tu!

Lakini hata hivyo -- ikiwa wanapanga kuruhusu watu wa ukoo wa mfalme aoe au aolewe na Mkatoliki bila ya kuathiri succession order, jee, si waende mbali zaidi na kuruhusu Waisilamu pia?

Tukio la miaka 12 iliyopita la kifo cha Prince Diana na Dodi El-fayed (Muisilamu) linatukumbusha umuhimu huo. Kuna wengi wanaamini kwamba ajali yao ilipangwa ili kitu cha namna hiyo kisitokee katika ukoo wa kifalme wa uingereza.

House of Saud wanaweza kuruhusu hili(wanafamilia kuoa/kuolewa na dini nyingine)?
 
Nilivyoelewa mimi ni kuona kati ya Anglican na Catholic. Madhehebu yote mawili ni ya Kikristo, hamna nafasi kwa Waislamu na pia haiwezekani.

Ninachojua Wakatoliki wanaruhusu ndoa za mseto (hata kuoana na Waislamu). Kinachoangalia ni upendo kwa vile mtu anaweza kumpenda mtu ambaye ni wa dhehebu au dini nyingine. Hili nina hakika nalo kulingana na sheria za ndoa ndani ya dhehebu hili.

Ila ni kweli swala lenyewe linahusu madhehebu hayo mawili.
 
House of Saud wanaweza kuruhusu hili(wanafamilia kuoa/kuolewa na dini nyingine)?

Familia ya Kifalme ya Saudia wanaweza kuhalalisha hiyo ndoa baada ya miaka mingi ya utandawazi maana dunia inabadilika kwa sasa isipokuwa itakuwa among Madhehebu ya Kiislamu sio kwa Christians. Kumbuka kuwa Anglicans na Catholiics wote ni Wakristo.
 
Back
Top Bottom