Hukumu ya mtoto Gujonja Said Gilabi (13) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya mtoto Gujonja Said Gilabi (13)

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Sipo, May 25, 2009.

 1. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  hii hukumu ikoje machoni?
   
 2. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Duuu hii inatakiwa ikemewe na kumsaidia huyu mtoto kwa kweli.....JF pse naomba tuungane kwa uwezo wetu tumsaidie huyu mtoto kwa kwelii maana sidhani kama hakukuwa na option zaidi kifungoo......hapana sio kiihivyoo...atakosa haki zake kimsingi......kama shule hata future yake itaharibika pia umri wake haikupaswa kutiwa hatiani hapa kuna mazingira ya rushwa lazima......wanaharakatii...psee
   
 3. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kwa kukumbushia mtoto huyu alitakiwa awe amefanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka jana lakini hakuweza kutokana na mwendelezo wa kesi nzima
   
 4. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Na huko jela anapopelekwa ndio chuo kikuu cha majambazi, na hata netwirk zao hutengenezwa huko sasa unapompeleka mtoto kama huyo ni kuandaa future jambazi.
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,381
  Likes Received: 22,253
  Trophy Points: 280  tanzania ilikufa na nyerere wake.
  Nchi hii si mali ya wazalendo tena, ni ya wageni.
  Je wewe hujasikia maamuzi dhidi ya wale waarabu watatu wa rujewa mbalali mbeya, laiompiga mtoto wa shule na kumuua kwa kosa la kuiba mapera????
  Leo tunaambiwa eti amekufa baada ya kujirusha kwenye gari,
  lakini taarifa za awali zilisema kuwa mtoto alipigwa hadi kufa...
  Mi yangu mamcho.
   
 6. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bujibuji please yako yasiwe macho tu. Tukemee kwa nguvu zote hata kwa kutoa tamko la kutoridhishwa na hukumu hii ili jumuiya ya kitaifa na kimataifa isikie kilio hiki cha wanyonge wa Tanzania. Bujibuji kumbuka sisi ni watanzania wachache ambao tumepata nafasi na uwezo wa kuongea na kusikika.
   
 7. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #7
  May 25, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Huu ni uonevu wa hali ya juu. Kwanza kimaisha mtoto huyu ameshayaumba tayari kwa kuwa elimu tena hakuna, kama hakumaliza darasa la saba then atasomaje secondary?? Au akitoka jela atakuja kusoma MEMKWA??? Na hata kama atapata nafasi ya kusoma hiyo elimu ya ngumbaro unataka kuniambia atasoma kweli wakati akiwa jela for sure anapata elimu dunia ya kumpatia short cut za maisha?? Ni wakati sasa umekuja tuwe na dedicated community Lawyers.

  Nafikiri nahitaji kwenda kusoma sheria sasa, nibadili proffession totally na nijikite fully katika advocate wa community causes. Nina amini nikiandika proposal kwa ajili hii na nikiji commit kabisa bila tamaa nitapata wafadhili na nitafungua law firm kubwa sana na ya maana kuliko za sasa za biashara tu bila kujali haki. Inaniuma sana kama mzazi.
   
 8. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mawakili wetu tunaowategemea na maprofesa waliobobea ndio hao wanaokwend kuwatetea akina Lyumba, Wahalifu waliokamatwa wakiibia nchi rasilimali zetu i.e samaki wa Magufuli, EPA n.k Wananishangaza sana hawa wansheria wetu hata kama wanataka pesa lakini this is too much tuwasaidie basi na Watanzania wanaoonewa pasipo sababu na kwa kukosa usaidizi wa kisheria.
   
 9. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hii inaonyesha ni jinsi gani watu wanavyotumia elimu yao ndivyo sivyo.Elimu lazima iangalie mazingira. mimi ninavyojua ni kwamba, huyu ni mtoto anatakiwa apewe hukumu kulingana na umri. nina hofu kwamba huyo mtoto kapelekwa mahabusu ya watu wazima!!!!
   
 10. N

  Nahene Member

  #10
  May 25, 2009
  Joined: Feb 18, 2008
  Messages: 32
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka maneno ya Dr Sengondo,M aliyasema akihojiwa na mwandishi kuwa Mawakili na wasomi wako busy kuwatetea matajiri na watu wakubwa na kuwasahau walalahoi na masikini wa_Tz. Jamani hivi hakuna mawakili wa kumtetea huyu mtoto,mko wapi NGO's, Mko wapi TAWLA,NEMC, Mama Ananilea Nkya na team yake ?

  Nashindwa kuelewa upeo wa hakimu na baraza lake waliotoa hukumu hiyo, ni wazazi kweli,je ni kiasi gani maji hayo yameharibiwa na hao mifugo ukilinganisha na yale ya mto(nimesahau jinale) yaliyoharibiwa na Mgodi wa North Mara na kusababisha mifugo kufa na majani kukauka? Je kama ni hukumu Mgodi huo utafungiwa miaka mingapi?.

  Jamani sijui Sheria wala sijasomea, lakini kwa upeo nilionao hukumu mara nyingi inalenga mafundisho, sasa haya ni mafundisho au kumkomoa mzazi? Nini matarajio ya kijana akitoka jela? je kijana akitoka jela na kusikia au kuona kuwa North Mara-mgodi bado wanaathiri mazingira na maji ya mto bila kuchukuliwa hatua atakuwa amejifunza nini.

  Ingelikuwa Rwanda, watu wangeliuliza hakimu alikuwa kabila gani? je sisi hapa Tz tuseme nini kama sio UFISADI.
   
 11. m

  mnozya JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  huyo hakimu pasipo shaka ni labda fisadi au ni fisadi wa taaluma.

  Niliwahi soma post hapa jf ya mtu mmoja ambaye alifuatilia suala la mama mmoja aliyekuwa na mtoto pale muhimbili ambaye alikuwa hapewi huduma na dr alitaka ampe rufaa ya kwenda kcmc kwa sababu ya ufisadi, mpiganaji wa jf alifuatilia mpaka ktk ngazi zote. Nashauri wapiganaji kama hao wampiganie huyu mtoto, waziri wa sheria ansemaje?

  Mwanakijiji huwa unajitahidi sana kuwabana wanaotoa maamuzi ya utata, nilikusikia ulivyombana tarik azizi wa tz ilipofungiwa mwanahalisi, unaonaje ukiwahoji hao wala nchi?

  Jamani mwenye email ya kina kijo gisimba awatumie haiyamkini hawana taarifa ya hili janga.

  Inauma na kusikitisha sana.
   
 12. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #12
  May 25, 2009
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naitazama hukumu hii kama fundisho kwa wazazi wanaoweza kuwatumia watoto wao kuvunja sheria. Tukiacha watoto wafanye wanavyotaka, heunda hata 'mtoto' wa miaka 18 akatumwa kufanya 'maajabu' zaidi, Je, tutegemee wanaharakati wa haki za binadamu kutetea uvunjaji wa sheria?
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,315
  Likes Received: 5,609
  Trophy Points: 280
  Wana JF kwa kweli tujitahidi sana yule mtoto atolewe tena mapema sana kabla hajaathirika....Serikali ipo kweli??hata serikali ya mkoa ipo kweli??
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Sasa hapa unataka kusema nini? Adhabu apewe mtoto au Mzazi?
  Hapa watu wanasema kwanza mtoto atoke jela na mwisho mzazi aulizwe kulikoni kumtuma mtoto mdogo kuchunga ng'ombe peke yake? Je alimwambia au alimuelekeza mtoto aende wapi kunywesha maji hiyo mifugo?
  Naona na wewe maneno yako yamekaa kama huyo hakimu.
   
Loading...