Naomba msaada kwa yeyote mwenye nazo au anayefahamu wapi naweza kudownload regulations au sheria inayoongoza uendeshaji wa vituo vya watoto waishio katika mazingira magumu. na kama hizo regulation pia zinazungumzia mambo ya mishahara na marupurupu mengine ambayo wanapaswa watumishi wa hivi vituo wapate.
Nimejaribu kuangalia ile minimum wage order iliyotolewa na serikali ya mwaka 2007, aina hii ya organisation haipo, nimewasililianan na wizara ya kazi - kitengo cha wage board kinachohusika na kutengeneza hii mishahara na marupurupu mengine wakaniambia ni kweli hiyo sector bado haijatungiwa guideline yeyote.
Nimejaribu pia kusurf kwenye web ya ministry of health and social welfare nikitumaini labda nitakuta maelezo yeyote kuhusu welfare department kwa sababu ninadhani kuwa hivi vituo inabidi vifanye kazi chini ya wizara hii (kutokanan nan jina la wizara) pia sikufanikiwa.
Ninaomba anaeweza kunisaidia afanye hivyo.
Asanteni.