Babu Seya's Appeal Set for November 30, 2009

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
The court of appeal will later this month start hearing this appeal. The Appelate Court Bench will be chaired by Justice Nathalia Kimaro , aided by Salum Massati and Mbarouk Mbarouk. Other appellants are Papii Nguza, Nguza Mbangu and Francis Nguza. Note that this will be their final attempt to gain their freedom[The Court of Appeal - Tanzania is the highest court of the land].

Let us look at the merits of this appeal. Is there any one with the detailed case report at the lower courts on this case?
 
Hivi siku hiyo hawajamaa ikatokea wakaachiwa, halafu wakapanda jukwaani kutumbuiza, Diamondi Jubilee hakutatosha , labda show ifanyike shamba la bibi pale uwanja wa UHURU. NAWATAKIA KILA LA HERI HAWA JAMAA WATOKE JELA. ADHABU IMEWATOSHA, WAMEJIFUNZA MENGI IMEKUA SOMO KWA KILA MTU. PAPII KOCHA NAKUMISS MDOGO WANGU.
 
dahhhhh papiiiiii kocha.nakumisss sana FM akademia sipati picha ukitoka jinsi rap ya FM akademia itakavonoga
 
kweli inasisimua kufikiria, maana kama matarajio yangekua ni kitu Halisi, wangeiachia huru hii familia , burudani inawamiss hawa watu, na watu wanaimiss hii familia, FM academia ndio usiseme.
 
Mimi kama mwanasheria wa Tumaini University Kulingana na Criminal Procedure Code ( Mwennendo wa Mkosa ya Jinai)
Kuna kukata Rufaa ndani ya Muda na Kesi yoyote ikifika mahakama ya Rufaa kwa ajiri ya Rufaa kutoka mahakama kuu inaWEZA KUSIKILIZWA KAMA MDEA TANGU ILE NAKARA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU HAUJAISHA
MIMI SIDHANIN KAMA WATASIKILIZWA KWA SABABABU YA KUKATA RUFAA NJE YA MUDA
 
Ndio nimekukubaLI INAONEKANA UMEMMISI KWELI BABU SEYA
JE WEWE UNAPATIKANA WAPI?
MIMI NI JAMES LUBUS
TUMAINI UNIVERSITY
IRINGA
 
The court of appeal will later this month start hearing this appeal. The Appelate Court Bench will be chaired by Justice Nathalia Kimaro , aided by Salum Massati and Mbarouk Mbarouk. Other appellants are Papii Nguza, Nguza Mbangu and Francis Nguza. Note that this will be their final attempt to gain their freedom[The Court of Appeal - Tanzania is the highest court of the land].

Let us look at the merits of this appeal. Is there any one with the detailed case report at the lower courts on this case?

Check my stats... at one time I posted the judgement together with Magistrates notes.It may shade some lights
 
Mimi kama mwanasheria wa Tumaini University Kulingana na Criminal Procedure Code ( Mwennendo wa Mkosa ya Jinai)
Kuna kukata Rufaa ndani ya Muda na Kesi yoyote ikifika mahakama ya Rufaa kwa ajiri ya Rufaa kutoka mahakama kuu inaWEZA KUSIKILIZWA KAMA MDEA TANGU ILE NAKARA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU HAUJAISHA
MIMI SIDHANIN KAMA WATASIKILIZWA KWA SABABABU YA KUKATA RUFAA NJE YA MUDA

Wewe unasoma Sheria kweli au unatania, maana hauko aware na mabadiliko ya Sheria! Criminal Procedure Code or Criminal Procedure Act? Na aliyekuambia wamekata rufaa nje ya muda ni kosa nani? Kama mtu akitoa sababu ya kuiridhisha mahakama (km kutokupata nakala ya hukumu kwa muda, etc) rufaa itakubaliwa! Na kama walikata rufaa ndani ya muda, inawezekana tu haikupangiwa Jaji wa kuisikiliza! Who knows?
 
Mimi kama mwanasheria wa Tumaini University Kulingana na Criminal Procedure Code ( Mwennendo wa Mkosa ya Jinai)
Kuna kukata Rufaa ndani ya Muda na Kesi yoyote ikifika mahakama ya Rufaa kwa ajiri ya Rufaa kutoka mahakama kuu inaWEZA KUSIKILIZWA KAMA MDEA TANGU ILE NAKARA YA HUKUMU YA MAHAKAMA KUU HAUJAISHA
MIMI SIDHANIN KAMA WATASIKILIZWA KWA SABABABU YA KUKATA RUFAA NJE YA MUDA

Usichukue notice za masomo hukazileta kweye JF kuchangia, unafikiri hawa watu wanakurupuka tu kukata rufaa bila kuwa na washauri wanasheria.Ninaimani kuwa hawa watu wanashauriwa na wanasheria wao baada ya kuangalia taratibu zote zinaruhusu.Naona nyie ndo mnaenda kufanya kazi na notice za madarasini alafu mnakuwa rigid kuwa walimu walifundisha hivi,kumbe hamjui kuwa kuna vitu vingine vinatokana ama kuamuliwa na uamuzi na field experience.
 
The court of appeal will later this month start hearing this appeal. The Appelate Court Bench will be chaired by Justice Nathalia Kimaro , aided by Salum Massati and Mbarouk Mbarouk. Other appellants are Papii Nguza, Nguza Mbangu and Francis Nguza. Note that this will be their final attempt to gain their freedom[The Court of Appeal - Tanzania is the highest court of the land].

Let us look at the merits of this appeal. Is there any one with the detailed, case report at the lower courts on this case?

This is going too far, Hii rufaa haijasikilizwa, kwa hio sio busara wanaJF sasahivi kuanza kucomment and or look at the meris of the appeal. Tuache waliopewa kazi hiyo kisheria na kikatiba waifanye kwa jinsi utaratibu unavyowataka wafanye. Mods tuangalie msijiingize kwenye masuala yanayoweza kuleteleza contempt of court kwani kujadili kesi ambayo iko pending ni kosa.
 
Sabi mbona sikuelewi?

Watanzania wangapi walio jela? Kwanini kina Nguza? Una udugu nao?

Assume ni kweli walifanya kilichosemwa kuwa wamekifanya, assume pia kuwa aliyefanyiwa hivyo ni mwanao na rafiki yako akawa anamwomba rais amwachie mtu aliyemfanyia hivyo mwanao, wewe utajisikiaje?

Si kesi inasikilizwa Novemba 30 mwaka huu? Mbona mnapenda kuingilia kazi za mahakama? Naamini haki itapatikana, kama hawakuhusika wataachiwa huru na natumaini wataomba kulipwa fidia.
 
Hivi kuna upatikanaji wa haki Tanzania siku hizi?
 
tunakuomba sana umsamehee kwani wameisha teseka kupita kiasi

Hivi unauelewa undani wa issue hii ya nguza? Hata km alikuwa na Bifu na akina JK. Unyama alioutenda kwa vijana wasiojua hili na lile hastahili kutoka kamwe. Kwa sisi tulioshuhudia watoto waliotendewa unyama na hawa jamaa hatukubaliana na hicho unachokipigia debe.
 
Back
Top Bottom