Law and Disorder in Philadelphia

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Mazingira magumu ya kupambana na uhalifu yapo kila nchi, lakini hii inaweza kuwa ngumu zaidi unapopaswa kupamabana na wahalifu waliokata tamaa ya maisha na kuua au kuuwawa kwao si kitu. Ni kazi ngumu pia hata kupata ushirikiano wa kuwezesha kuwatia hatiani wahalifu.



[ame="http://video.google.com/videoplay?docid=-258794784227132041"]http://video.google.com/videoplay?docid=-258794784227132041[/ame]#

Hivi hii dhana ya "polisi Jamii" ya kwetu inaweza kufikia kiwango cha kukabiliana na uhalifu wa hali ya juu pale ambapo hata askari hawajawezeshwa??.
 
Mkuu bado sana kwetu. Wanatakiwa wajifunze mbinu mbali mbali kila kukicha na kwenda na wakati.

Technologia nayo ni shida kwetu, wakati kuna uhalifu mwingi sana wa kitechnoligia.

Brotherly love City Phile!!! Kuna mambo sana. Watu walifikia wakati wa kukimbia jiji.
 
mkuu bado sana kwetu. Wanatakiwa wajifunze mbinu mbali mbali kila kukicha na kwenda na wakati.

technologia nayo ni shida kwetu, wakati kuna uhalifu mwingi sana wa kitechnoligia.

brotherly love city phile!!! Kuna mambo sana. Watu walifikia wakati wa kukimbia jiji.


tumenza na cctv kwa jerry muro, tumejifunza kwa Kamanda Kova kuwa inafamya vizuri sana kwa hiyo tunahitahitaji kuipigania ikafike mpaka vijijini kwenye matukio mengi ya uhalifu!.
 
Back
Top Bottom