Hati ya mashtaka ya Muro na Wenzake

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
Haya ndio Mashtaka ambayo Muro na Wenzake wanakabiliwa nayo katika Mahakama ya Kisutu (see attached file).
Nawasilisha kwa taarifa na hapa naomba kunukuu vifungu husika vya sheria ambavyo vinahusu mashtaka hayo kwa mujibu wa Hati ya Mashtaka (Charge Sheet).
THE PREVENTION AND COMBATING OF CORRUPTION ACT
CHAPTER 329

Corrupt transactions:

15.-(1) Any person who corruptly by himself or in conjunction with any other person- (a) solicits, accepts or obtains, or attempts to obtain, from any person for himself or any other person, any advantage as an inducement to, or reward for, or otherwise on account of, any agent, whether or not such agent is the same person as such first mentioned person and whether the agent has or has no authority to do, or forbearing to do, or having done or forborne to do, anything in relation to his principal's affairs or business; or

…..commits an offence of corruption.

(2) A person who is convicted of an offence under this section, shall be liable to a fine of not less than five hundred thousand shillings but not more than one million shillings or to imprisonment for a term of not less than three years but not more than five years or to both.

Conspiracy

32. Any person who conspires with another person to commit an offence under this Act commits a like offence and shall be liable on conviction to a fine not exceeding five million shillings or to imprisonment for a term not exceeding three years or to both.


THE PENAL CODE, CHAPTER 16

Personation in general

369.-(1) Any person who, with intent to defraud any person, falsely represents himself to be some other person, living or dead, commits an offence.

General punishment for offences where penalty not prescribed

35. When in this Code no punishment is expressly provided for any offence, it shall be punishable with imprisonment for a term not exceeding two years or with a fine(???) or with both.


NB; Sijaweza kuona tafrsi ya neno "Corrupt" , "Corruption" wala "Corruptly by hismelf" kama nukuu ya kifungu cha 15 (1) cha Sheria ya PCCB inavyotaja. Hata hivyo, sheria ni pana!!.
 

Attachments

  • MURO NA WENZAKE.doc
    495 KB · Views: 152
sasa tatizo liko wapi?





Soma vizuri>
  1. SOMA particulars of offence kwenye 2ND cOUNT - WHO IS ACCUSED?
  2. SOMA pia particulars of offence kwenye 3rd cOUNT - WHO are the ACCUSED?
  3. Conclude what are the charges against MURO..
  4. Linganisha na taarifa za wahandishi wetu walizotuletea humu ndani kuhusu mashtaka kamili ya J. MURO>
Gud day!.
 
Soma vizuri>
  1. SOMA particulars of offence kwenye 2ND cOUNT - WHO IS ACCUSED?
  2. SOMA pia particulars of offence kwenye 3rd cOUNT - WHO are the ACCUSED?
  3. Conclude what are the charges against MURO..
  4. Linganisha na taarifa za wahandishi wetu walizotuletea humu ndani kuhusu mashtaka kamili ya MMURO>
Gud day!.

Hizi taarifa za waandishi wetu mara nyingi hupelekea jamii kuamini kuwa kesi fulani ina mwelekeo fulani lakini sivyo! Tunatakiwa tuwe makini na vyombo vyetu vya habari vya siku hizi!
 
Ogopa sana HABARI YA KIMAHAKAMA INAPOANDIKWA NA mWANDISHI ANAYETAKA kuuza habari yake gazetini apate kujikimu...Tegemea Techical Errors, biasness, personal interests, na public interests kujaa huko bila sababu, na bila kujali mwenendo wa kiufundi wa Kesi husika.
 
corruplty is ADVERB

...several government officials charged with acting corruptly.
 
hizi taarifa za waandishi wetu mara nyingi hupelekea jamii kuamini kuwa kesi fulani ina mwelekeo fulani lakini sivyo! Tunatakiwa tuwe makini na vyombo vyetu vya habari vya siku hizi!


ogopa sana habari ya kimahakama inapoandikwa na mwandishi anayetaka kuuza habari yake gazetini apate kujikimu...tegemea techical errors, biasness, personal interests, na public interests kujaa huko bila sababu, na bila kujali mwenendo wa kiufundi wa kesi husika.

na ndivyo vyombo vya habari vya marekani vilivyofanya kwa kesi ya o.j simpson. This is how the media coverage is descibed that case:

the trial received extensive media coverage. The media coverage was itself at times controversial; the issue of whether or not to allow any video cameras into the courtroom was among the first issues judge ito had to decide, ultimately ruling that live camera coverage was warranted. ito would be later criticized for this decision by other legal professionals, and ito himself, along with others related to the case (marcia clark, mark fuhrman, kato kaelin) were said to have been influenced to some degree by the media presence, and the publicity that came with it. The trial was covered in 2,237 news segments from 1994 through 1997.

on june 27, 1994, time published a cover story "an american tragedy" with a mugshot image of o.j. Simpson on the cover. the image was darker than a typical magazine image, and it was obvious that the time photo was much darker than the original, as shown on a newsweek cover released at the same time. Time itself was now the object of a media scandal, and it was found it had employed photo manipulation to darken the photo, for the purpose of, as commentators have claimed, making simpson appear more "menacing." the publication of the cover photo drew widespread criticism of racist editorializing, and yellow journalism. Time publicly apologized, and news organizations nationwide quickly instituted rules prohibiting such manipulation
http://en.wikipedia.org/wiki/o._j._simpson_murder_case
ndivyo ilivykuwa kwa kesi ya kamanda zombe et al ,.....nk nk
 
Thanks!! kwa Kutuletea haya before bengine itakuwa tatizo kwa Jerry Muro Kutoka si atawashtaki Govt kwa kumuharibia Jina au ndio itakuwaje maana mimi ninavyoona kama picha la kihindi linavyoanza
 
Back
Top Bottom