Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakuu wa hili jukwaa mimi nahitaji kujulishwa Hawa TIRA Nini haswa kazi zao??Nanini wanatakiwa kufanya kama mtu hajatendewa haki na Insurence's Company?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
kwa heshima nawasalimu ,mimi ni graduate wa economics na nimeajiriwa TRA CUSTOMS ,nilipata admission ya MA ECON pale ud lakini ghafula nikahamishiwa mkoani.sa ishu nayoomba mnishauri mdogowenu ni...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa hali ya mambo yanavyoendelea ndani ya Bunge letu la Tanzania kwa hasa Spika na wasaidizi wake kuendesha Bunge bila kufuata misingi ya usawa kwa pande zote hasa hasa upinzani,je hili mnalionaje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kosa lolote atakalo mtendea mtu mwenye mamlaka ya Urais mtu yoyote yule, Rais ankinga (immunity) ni lazima avuliwe na bunge ndipo ashitakiwe. (Presidential Immunity). Umeipenda hiyo?
1 Reactions
0 Replies
991 Views
Habari zenu wana jamii forum, Mimi nimetumwa kwa niaba ya familia yetu nijiunge humu ili kunusuru ndugu yetu aliye katika hatari ya kupoteza maisha. Mkasa wenyewe uko hivi; Tuna mdogo wetu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nahitaji msada wenu jamani, mimi ni mmoja kati ya watoto sita tuliozaliwa na baba yetu pamoja na mama yetu wakiwa ndani ya ndoa. Lakini walitengana mara baada ya baba yangu kuwa na nyumba ndogo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mimi ni muathirika wa zoezi la bomoa bomoa ambalo linatarajiwa kufanyika hivi karibuni,ninahitaji ushauri wa kufahamu haki zangu maana tumeambiwa na serikali kama tumevamia eneo hilo kutokana na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba wajuzi wa sheria mnijuze mambo ya sheria katika suala hili; nimekamata texts kama 4 za ki-cybersex, texts kali za kingono kwenye sent items ya simu ya mke wangu kwenda kwennye namba ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wakuu naombeni ushauri!kuna mtu anataka aniuzie party ya kiwanja chake,kina hati,ila hatia anabaki nayo,mm ananiuzia kisehemu tuu!hv hapa nifanyeje ili isije ikala kwangu siku zijazo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba wajuzi wa sheria mnisaidie kwa hili. Je, ni katika mazingira yapi au kwa sababu zipi Polisi wanaweza kumuweka mtu korokoroni (Lock up)? Mfano, Nikienda Polisi kushtaki kwamba Mr. X...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Wandugu habari. Kwanza niseme mimi ni mwajiri anaechipukia na ninatengeneza sera yangu ya usimamizi wa rasilimali watu. Ninaomba nisaidiwe kufahamu, je baada ya kutungwa kwa sheria mpya ya Kazi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
mimi nina nyumba ipo iringa na mie naishi dar..sasa nikaona bora nipangishe ya irnga .nikawatafuta Majembe auction mart wanisaidie kutafuta mpangaji hiyo ilikua mwezi wa tano wakanambia wamepata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana janvi, naomba msaada wenu hapa. Malipo yatolewayo na NSSF kama kiinua mgongo baada ya kutimiza miaka 15 na zaidi ya uanachama hutolewaje? Je, Mwanachama huchukua malimbikizo yake yote kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba kuelimishwa juu ya hivi kweli sifa za kuwa mbunge zilizoainishwa kwa mujibu wa katiba yetu, zinajitosheleza kumpa mbuge uwezo wa kutunga sheria?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu,nimekua nikifuatilia kwa muda mrefu hizi adhbu za mahakama,lakini napata tatizo kidogo.Kwa mfano gazeti la leo la mwananchi ukurasa wa 8 wameandika habari ya Raia watatu wa China ambao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndgugu zangu wanaJF magreat thinker nimeona leo tujadiri hii mada maana imenisumbua na kunigusa sana. Wakati mjadala wa bajeti ya wizara ya nishati na madini unaendelea liliibuka suala la rushwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwanini sheria inawapendelea wanaume kuandika urithi kwa kificho bila kuwashirikisha wake zao?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimerudi nyumbani kwangu nikakuta binti yangu wa chini ya miaka 14 anasoma gazeti la Risasi jumatano namba 818 lililotoka tarehe 20 hadi 22 Julai 2011. Kwenye gazeti hilo nilikuta anasoma...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
habari wa jf naomba mnisaidie kwa hili maana nimejaribu kila namna lakn naona kila mmoja analiogopa, nimeweka hela zangu benki fulani kwa minajili kwamba nikizitaka nakwenda kwenye ATM's zao...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom