Msaada wako wa kusoma na kunishauri nitashukuru sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wako wa kusoma na kunishauri nitashukuru sana

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by The only, Jul 21, 2011.

 1. The only

  The only JF-Expert Member

  #1
  Jul 21, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  kwa heshima nawasalimu ,mimi ni graduate wa economics na nimeajiriwa TRA CUSTOMS ,nilipata admission ya MA ECON pale ud lakini ghafula nikahamishiwa mkoani.sa ishu nayoomba mnishauri mdogowenu ni kuwa nataka nisome POSTGRADUATE YA LAW open university ,naomba mnishauri ni uamuzi ni ,na kwa wataalamu wa law je inakuwaje nitapitia challenge zipi,je haitanisumbua kwa kuwa na background poor ya sheria,asanteni
   
 2. Aloysius

  Aloysius Member

  #2
  Jul 21, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa mawazo yangu hio haina shida yoyote. Hata walioanza Bachelora Degree walikuwa na msingi wa Geography, HIstory, Kiswahili n.k. lakini they made it, pia wapo wanasheria wanao divert professionals zao wanasoma MBA n.k, hivyo usijikadirie, vitu vyote katika elimu ya juu uanzwa moja. "Beggined from the Beggining". aloysrugazia@yahoo.com.
   
 3. The only

  The only JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  thax aloysia
   
 4. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kama imeajiriwa customs tra ninakushauri usome postgraduate ya tax administration,ukisoma post ya sheria haitakusaidia kabisa!na pia sheria ni nzuri ukiisomea undergraduate!pia open unaweza jikuta unamaliza miaka kumi huja gradute.ni hayo tu mdogo wangu
   
 5. The only

  The only JF-Expert Member

  #5
  Jul 25, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  thx broza
   
 6. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  wacha kutisha watu eti Open unamaliza miaka 10 wakati imepigwa Llb miaka 3 net na watu tuko job! Mwache mtu aende mambo yamebadilika sana Pale Out.
   
 7. The only

  The only JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  thx bro safety last
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kama umeipenda kwa dhati kabisa utaiweza na wala haitakusumbua. Lakini nakushauri angalia kazi yako unayofanya ifanane na hicho utakachosoma kwani hayo ndio mambo yanayoweza kukupa wewe ueleo zaidi na hata promotion unapomaliza.

  Sasa amua kusuka au kunyoa
   
 9. The only

  The only JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2011
  Joined: May 19, 2011
  Messages: 1,423
  Likes Received: 944
  Trophy Points: 280
  Asante broo barubaru
   
 10. c

  charndams JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  ukiwa na malengo ya kusoma ili upate pesa, sijui promotion, good housing, allowances nk hutaenda popote. nakuapia. hapa ndo tunapata mafisadi wa hali ya juu wanayoimaliza nchi, wanafilisi makampuni kwa kupora mali bila hata aibu. lakini ukiwa na passion na unachotaka kusoma kwa malengo ya kunufaisha umma na kuboresha nchi then be proud of it and go for it. nadhani licha ya kazi unazozifanya kwa sasa utakuwa flexible enough kuisaidia TRA kupambana na mafisadi kupitia taaluma yako mpya na hata kama ni promotion utaipata bila kukusudia. dunia ya leo inahitaji watu wenye taaluma nyingi wanaoweza kufanya kazi mbalimbali kwenye makampuni. mfano, mimi ni Biomedical Engineer lakini nilipokuwa kazini niligundua ninatumika sana katika mambo ya ICT hivyo ilinibidi nirudi chuoni on a full scholarship kuchukua degree ya ICT na niko mbioni kumaliza. ninatarjia baada ya hapa kuchukua Msc. Computer science. kuwa na background poor ya sheria sio tija ilimuradi uko na passion ya law. you will find it very easy as time goes by.
   
Loading...