wabunge wetu wanatunga sheria au wanapitisha sheria na kama wanatunga je, wanazo sifa za kutunga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wabunge wetu wanatunga sheria au wanapitisha sheria na kama wanatunga je, wanazo sifa za kutunga?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by jacksonmjuni, Jul 25, 2011.

 1. j

  jacksonmjuni Member

  #1
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Naomba kuelimishwa juu ya hivi kweli sifa za kuwa mbunge zilizoainishwa kwa mujibu wa katiba yetu, zinajitosheleza kumpa mbuge uwezo wa kutunga sheria?
   
 2. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #2
  Jul 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ibara ya 64 kifungu cha 1 KYJMT inatoa hiyo 'mandate' ya kutunga sheria...Ibara ya 67 kifungu cha kwanza 1 (a)-(c) inataja sifa za kuchaguliwa kuwa mbunge, kujibu swali lako ni kuwa mbunge hachaguliwi kutunga sheria tu...rejea kazi za bunge kwenye Ibara ya 63 kifungu cha 3 (a)-(d)..
  Hivyo nadhani kwa mujibu wa katiba hiyo haina utata..
   
Loading...