Je ni sahihi Spika wa Bunge na Wasaidizi wake wasiwe wanatoka Chama chochote? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni sahihi Spika wa Bunge na Wasaidizi wake wasiwe wanatoka Chama chochote?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Laurence, Jul 29, 2011.

 1. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa hali ya mambo yanavyoendelea ndani ya Bunge letu la Tanzania kwa hasa Spika na wasaidizi wake kuendesha Bunge bila kufuata misingi ya usawa kwa pande zote hasa hasa upinzani,je hili mnalionaje wana Jf? Nawasilisha kwenu.
   
 2. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #2
  Jul 29, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  jana kuna mdau kwenye thread mojawapo alisema hili bunge apewe mchina au mjapani.
   
Loading...