unyanyasaji kuhusu wosia! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

unyanyasaji kuhusu wosia!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by butogwa, Jul 6, 2011.

 1. b

  butogwa Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwanini sheria inawapendelea wanaume kuandika urithi kwa kificho bila kuwashirikisha wake zao?
   
 2. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Wanawake nao wanaruhusiwa kuandika za kwao kwa kificho
   
 3. b

  butogwa Member

  #3
  Jul 11, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante baba askofu kwa jibu zuri, ni kweli kuna wamama wanawatoto wasijulikana baba zao nao wanapaswa kushirikisha waume zao. Swali ni kwenye zile wosia zinazoandikwa kwa kificho na kuwakandamiza kina mama kwenye mgawanyo wa mali kwa mf, mama mwenye umri mkubwa anapewa shamba wakati hana nguvu za kulima na hana pato la kila cku! Bb askofu utapeleka kondoo wengi kweli mbinguni kwa unyanyasaji huu wa wanaume?
   
 4. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sheria haipendelen mtu yeyote kwan kwa mujb wa sheria ya urithi mtu yeyote mwenye umri wa miaka kuanzia 18 na kuendelea anaruhusiwa kuandka wosia mbele ya mashahd wawil kama anajua kuandka na ksoma na wa4 ikiwa hawez kusoma. Shart jngne ili wosia uwe halal wahusika wa ule wosia (benificiary) hawatakiwi kuwa sehem ya mashuhuda wa wosia.
  Vilevile mtoa wosia aweza kumrithsha m2 yeyote anayemtaka hata kama si ndugu yake na maamuz yake hayawez kutenguliwa na mc yeyote yule.
  Hivyo hata akiamua kutomwachia mkewe hakuna wa kumhoj.
  Lakn ikumbukwe huwez andka wosia kwa mali isiyo ya kwako au ambayo humiliki peke yako. N ile sehem ya mal yako tu ndo waweza acha wosia.
   
 5. b

  butogwa Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivi mke anaasilimia ngapi ktk mali ya mmewe kwa mf. Mke ameolewa na hana kazi na mme akapata mali wakiwa wote. na ikatokea mme akafa na hakumwachia kitu mke ktk wosia wake, je shelia inasemaje? 2.je mme kuandikisha mali zake watoto wakiwa na umri chini ya miaka 18 na kumuacha mama yao wakati bado anaishi nae ambae ni mke wake wa ndoa ya kikristo.
   
 6. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kama nlvyosema hapo awal mwenye mal aweza mrithisha m2 yeyote ampendaye.
  Lakn kuhusu mali znazochumwa wakiwa pamoja mali hzo huwa ni za wao wote wawili yaan pasupasu lakn ikiwa mwanaume ataandka mali hzo kwa jina lake pekee yake na mke akakubal presumption inayokuwepo n kwamba zile mali n zake peke yake na huyo kumpa nguv ya ktoa wosia.
  Hvyo mke mara nyng asistize mali za familia kuwekwa katka majna yao wote, au baada ya kfo akontest kwamba zle mal n za wao wote ingawa hapa atatakiwa kuithbtishia mahakama kwa ushahd mzto kwamba hzo mal n za wote vngnevyo itabd akubaliane na wosia.
  Ikiwa wototo walio chn ya miaka kumi na nane wakiachiwa mali mama yao ndio atakayekuwa mtunzaj wa zle mali kwa niaba ya watoto ispokuwa tu pale mtoa wosia kaacha uangalz wa mal hzo chn ya m2 mwngne.
   
 7. b

  butogwa Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante kunifahamisha. Nahitaji kujua mengi juu ya haki za wanawake. Pia nawa incourage wanawake kuzifahamu haki zao kisheria ili kuepuka kukurupuka kimaamuzi kwenye ndoa hasa wakati wa matatizo na kupoteza haki zao.
   
 8. mbasajohn

  mbasajohn JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  safi sana karibu 2taendelea kujuzana
   
 9. Z

  Zabron Erasto Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa mbasajohn naweza pata attachment za sheria hizo kuhusu haki za wanandoa kunapotokea tatizo ama wakati wa urithi wa mali ikiwa mmoja wa wanandoa amefariki. Na haki za mwanamke ikiwa mme aliacha wosia ambao mke hahusiki.
   
Loading...