Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Hellow to all great thinkers...! Wandugu embu nisaidieni mawazo yenu hapo cause nahisi kuwa mwehu hapa....! Mimi nilikuwa ni muajiriwa wa kampuni moja ya uchimbaji wa madini hapa Tz, nikawa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nina gari nilinunua kwa mtu miaka mitano iliyopita. Muda wote huo nilikuwa sijabadili kutoka jina la muuzaji kwenda jina langu. Hivi juzi rafiki yangu kaniambia kwamba nikienda tu kubadili jina...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndugu wana jamvi, Juzi nilikuwa naangalia star Tv majira ya saa tatu usiku, nikakuta wakuu wa tatu wanaowakilisha wananchi wa Kigamboni wakiongelea kuhusu mradi wa kigamboni na jinsi sheria...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ninavyoamini mimi ni kuwa, vitu mfano wa silaha za moto zinapaswa zibebwe na watu wenye akili timamu. Jioni ya leo nikiwa katika mitaa ya uhindini mjini Dodoma nimeshuhudia tukio ambalo...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mahakama wilayani Sumbawanga imemtia hatiani bwana Cosmas Mafuru kwa kosa la kuanzisha Chuo fake,bwana Mafuru mwenye umri wa miaka 50,alituhumiwa kwa kosa la kujiita Mkurugenzi wa Chuo Cha Uandish...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
One of the men suspected to have carried out the bombing in Kampala in July last year claims security officers forced him to eat pork and have anal sex. The allegation is contained in a fresh...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau naomba kuuliza,Unapokuwa umeacha au kuachishwa kazi na Muajiri na ulikuwa unakatwa makato hayo kama kawaida wakati wa ajira yako,baada ya kuachishwa ukaanza kujaza fomu za madai lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nafahamu hakimu anaweza kujitoa kusikiliza kesi yoyote mfano pale anapokuwa na maslahi na hiyo kesi. je wafanyakazi wa fani nyingine wana hiyo nafasi? mfano, askari anaweza kukataa kumkamata mtu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Salam wana JF. Mimi ni mhasibu katika kampuni ya kimataifa hapa ughaibuni. Kabla hajaja bosi wa pili, huyu bosi wa kwanza (Resident Manager) na pia anamiliki 35% ya local branch na ana power of...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ICC yasema baraza la mpito linawajibika kwa kifo cha Gadafi. SOURCE;BBC-SWAHILI website
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi? Naombeni ushauri wenu kuhusu hii kesi yangu... February mwaka huu nilinunua ardhi kwa mtu mitaa ya Goba. Yule alienuzia kwa sasa yupo Arusha. Tatizo ni kuwa yule mzee alieuza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
mtu ka ukumiwa miaka kumi na tano jela kwa kosa la mauwaji baada ya kutoka jelakamu ona mtu yule yule aliye ukumiwa yeye kuwa kamuua ika bidi achukue pangaamufukuze uyo mtu alipo mkamata aka mkata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wapendwa natatfuta sheria ya udhamini ya kiswahili,nina shida nayo sana kwa yeyote mwenye kujua kuhusu hili anijulishe Asanteni sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Hivi karibuni nilimshitaki mtu kwa kosa la kuiba mali niliyomkabidhi kuiuza dukani kwangu. Baada ya kesi kuisha mahakama / Hakimu alimuhukumu mtuhumiwa kutumikia kifungo cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naanza kujitolea kutoa elimu bure humu JF kwa kipidi chote nitakachokuwa likizo. Leo naanza na hili. Jua haki yako unapokamatwa na polisi Raia ana haki ya kumwomba askari ajitambulishe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello jamii forum! great to read fro you, I wish to write something, just like a proposal about election expenses Act, to what extent the law achieve its objective, was there any need to enact...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau, leo asubuhi nikiwa mtwara stendi kwenye bus la sumry kabla ya safari ya kuja dar kuanza, aliingia ndani ya bus askari mwenye cheo cha koplo akajitambulisha na kuanza kutoa maelekezo kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waungwana naomba mawazo yenu. Kuna dogo langu hivi ninavyoandika liko Segerea mahabusu kwa tuhuma za Cyber Crimes(Limekwiba kwa mtandao).Kifupi nimetoka nalo mbali ikiwa ni pamoja na kulitafutia...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kuna mtu anataka kuongeza jina ambalo halipo kwenye vyeti vyake vya shule. Hii anataka kuifanya kwenye ajira baada ya kugundua kuna mtu wako idara moja na majina yao ni yale yale.Ana birth...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni siku moja tu baada ya kufariki mwanafunzi wa mwaka wa tatu huko COED, usiku wa kuamkia leo kijana mwingne wa mwaka wa pili amefariki na wenzie kadhaa kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi maeneo...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Back
Top Bottom