Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ukistaajabu ya David Cameroon ya USA itakuacha hoi...
THE United States Senate Thursday 12/8 approved a defence authorisation bill legalising sodomy with humans and sex with...
Salaam wana jamvi,
Leo kuna gazeti moja nimesoma kuwa anne makinda amekabidhi hati MILIKI ZA ARDHI za KIMILA , katika moja ya mikoa, naomba kama kuna mtu anajua hii sheria atudadavulie maana...
Msaada wenu wakuu mim nikijana najishughulisha na kazi ya ufundi umeme wa magari.Wiki iliyopita nilikuwa na rafiki yangu tumebeba engine control tulikuwa tumetokanazo kariakoo kwa mafundi...
Naenda moja kwa moja kwenye mada, mama yangu ana tuhuma za udanganyifu wa mtihani huu wa primary, yeye anadai hakukuwa na kitu chochote alichofanya ndani ya chumba cha mtihani. Sasa tatizo mkuu...
Jana usiku majira ya saa nne niliweka muda wa maongezi wa sh.4,000/= kisha nikanunua kifurushi cha intanet cha MB400 kwa sh2500. Nikaperuziperuzi kwenye intanet kwa muda wa nusu saa pasipo...
Wazo binafsi: SIPINGI WANANCHI WA JANGWANI KUHAMISHWA ILA NAOMBA SERIKALI IFANYE JAMBO MOJA,MAADAM NYUMBA ZA NHC NI MALI YA WANANCHI INGEKUWA BORA KUWAONDOA WAHINDI WOTE MITAA YA UPANGA KWANI WAO...
Kuna mfanyakazi mmoja alikabidhiwa ofisi ya umma. Ndani ya miaka 2 akawa amepata shoti ya shillingi milioni 3, na alipoitwa na menajimenti akakiri kutenda kosa hilo na yupo tayari kurejesha fedha...
Wajibu katika mkataba wowote ni kwa pande mbili au zaidi zinazohusika ambazo zinafanya mapatano hayo. Hivyo, kisheria mapatano ni yale ambayo pande husika zimekubaliana kubanwa na sheria katika...
Dear readers, any one with copy of the constitutional review act signed by he the president of united republic of tanzania, please post here so that we can see what was added there in by the...
Wasalaam
Naomba mwenye udadavuzo yakinifu kuhusu haki za mashoga....kuna mikanganyiko mingi sana,, na wengine wakijibana kwenye mizani ya mila na desturi huku wengine wakiegema dini na wengine...
My learned brothers and sisters,mimi ni mhitimu wa degree ya sheria nimetafuta kazi bila mafanikio,yeyote mwenye kuweza anisaidie nipate japo nafasi ya kazi ya kujitolea ili nipate experience
Ni jambo la ajabu na aibu Kwa Polisi kumushitaki Raia Samson Mwigamba kuwa anawachochea Majeshi yetu kuasi amri halali za wakubwa zao na pengine kuto mtii Rais Kikwete!!!
Hapa inaonekana...
Written by amini // 21/12/2011 // Habari // No comments
Hakuna shaka kuwa mshtakiwa no X katika kesi ya mauwaji ya Karume alikuwa ni Juliasi Nyerere lakini kwa kipindi kile alihifadhiwa...
Wadau nina akaunt katika benki moja hapa jijini Dar sasa kumekuwa na mchezo wa mtu kudeposit fedha kwenye account yangu pasipo mimi kumfahamu mtu huyo. Mara ya kwanza aliweka kama milioni 27...
Wadau nimehabarishwa kuwa Taasisi ya rushwa imewanasa golikipa na meneja wa timu ya Simba ya dar es salaam na kuwaweka chini ya ulinzi mkali wa njagu hao kabla ya kupelekwa mahabusu. Mwenye...
0.Serikali lelemama
1.MAKAMPUNI YA SIMU(wananchi wanajiuliza serikali mipo wapi wakati wanaibiwa kila siku)
2.MIGODI(Madini kama tanzanite ingetakiwa kuchimbwa na wazawa,watu wa nje wamedhaminiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.