Divorce lawsuit!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Divorce lawsuit!!

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by tanga kwetu, Jul 27, 2011.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  Naomba wajuzi wa sheria mnijuze mambo ya sheria katika suala hili; nimekamata texts kama 4 za ki-cybersex, texts kali za kingono kwenye sent items ya simu ya mke wangu kwenda kwennye namba ya mwanaume wake (simfahamu ila ni mwanaume ambaye anasema ni bf wake wa zamani). Nimenakili tarehe na muda wa hizo texts maana kwa sasa amefuta. Je, naweza kutumia huu kama ushahidi tosha kuomba kutoa divorce?
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Ulikuwa unamtafutia sababu nini?

  Ninachojua...kisheria, infidelity ni sababu mojawapo ambayo mume/mke anaweza akaomba talaka kisheria. lakini inategemea pia ulifunga ndoa wapi? kama ni ya kidini, hasa kama ni ya kiKristo....utapaswa kurudi kanisani kwa usuluishi. Ikishindikana na kanisa kuridhia muachane (hiki kipengele sahau kabisa, kanisa haliwezi kuridhia hata ukimfumania mkeo/mumeo uchi wa mnyama anatenda), hii ni pamoja na kushindikana kwa mabaraza mengine ya upatanishi mfano familia, wasimamizi wa ndoa...then hapo ndio unafile kesi ya kuomba talaka.

  My advice: If you are a christian and you have a christian marriage...forget about divorce, it wont happen. Msamehe tu dada muendelee kuishi 'kwa amani'.
   
 3. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  hiyo infidelity unayoisema kama sababu ya kuomba talaka kisheria umeitoa wapi? ni ya sheria gani? bora ungemshauri kwa kusema kuwa hayo ni mawazo yako kuliko kujifanya sheria ndo inasema hivyo!
  By da way.......nakubaliana na wewe kwa hoja ya Kikristo peke yake!
   
 4. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Bwana Riwa, sheria ya kutenganisha ndoa ya kikristo ipo siku hizi na inafanya kazi kabisa, nenda baraza la maaskofu watakkufafanulia vizuri
   
 5. Mwiyuzi

  Mwiyuzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 861
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 80
  Kisheria...taraka haiwezi kutolewa mpaka ithibitishwe kuwa ndoa imeharibika na haiwezi kusuluhishwa tena(marriage has broken down irreperably or irretrivably)

  Uzinzi unaweza kuwa sababu ya talaka lakini inabidi kuwepo kwa ushahidi wa kutosha. Vilevile ikiwa wewe ulimuoa mke wako ukiwa unamfahamu huyo x-boyfriend, alafu ukamuoa.........huwezi ukachachamaa kuomba talaka eti kwa kukuta tu such kind of sms!

  mpaka hapa ndoa hii haijafikia hali ya talaka kutolewa........altenatively nenda kwenye baraza la usuluishi......maana ndo hatua ya awali.
   
 6. A

  Aine JF-Expert Member

  #6
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo pekee haiwezi kugarantee divorce mahakamani
  Soma Sheria ya ndoa hapa

  Section 107 of the Law of Marriage Act, Cap 29 (RE: 2002) Evidence that marriage has broken down

  (1) In deciding whether or not a marriage has broken down, the court shall have regard to all relevant evidence regarding the conduct and circumstances of the parties and, in particular–
  (a) shall, unless the court for any special reason otherwise directs, refuse to grant a decree where a petition is founded exclusively on the petitioner's own wrongdoing; and
  (b) shall have regard to the custom of the community to which the parties belong.

  (2) Without prejudice to the generality of subsection (1), the court may accept any one or more of the following matters as evidence that a marriage has broken down but proof of any such matter shall not entitle a party as of right to a decree–
  (a) adultery committed by the respondent, particularly when more than one act of adultery has been committed or when adulterous association is continued despite protest;
  (b) sexual perversion on the part of the respondent;
  (c) cruelty, whether mental or physical, inflicted by the respondent on the petitioner or on the children, if any, of the marriage;
  (d) wilful neglect on the part of the respondent;
  (e) desertion of the petitioner by the respondent for at least three years, where the court is satisfied that it is wilful;
  (f) voluntary separation or separation by decree of the court, where it has continued for at least three years;
  (g) imprisonment of the respondent for life or for a term of not less than five years, regard being had both to the length of the sentence and to the nature of the offence for which it was imposed;
  (h) mental illness of the respondent, where at least two doctors, one of whom is qualified or experienced in psychiatry, have certified that they entertain no hope of cure or recovery;
  (i) change of religion by the respondent, where both parties followed the same faith at the time of the marriage and where according to the laws of that faith a change of religion dissolves or is a ground for the dissolution of marriage.

  (3) Where it is proved to the satisfaction of the court that–
  (a) the parties were married in Islamic form;
  (b) a Board has certified that it has failed to reconcile the parties; and
  (c) subsequent to the granting by the Board of a certificate that it has failed to reconcile the parties, either of them has done any act or thing which would, but for the provisions of this Act, have dissolved the marriage in accordance with the Islamic law,
  the court shall make a finding that the marriage has irreparably broken down and proceed to grant a decree of divorce.

  Hii nadhani itakusaidia
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jul 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,046
  Likes Received: 6,492
  Trophy Points: 280
  Lugha sasa mtu wangu, pengine watapita akina pdidy watatufafanulia.
   
 8. pumbatupu

  pumbatupu JF-Expert Member

  #8
  Jul 27, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nadhani anachohitaji ni kujua kama ule ushahidi wa SMS unaweza ku'constitute dissolvance of the marriage...sasa ukimpa hiyo 'para' unamuongezea mzigo..si unajua lugha za kisheria kaka..
   
 9. A

  Aine JF-Expert Member

  #9
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nimemuambia huo ujumbe pekee hauwezi ku-guarantee divorce mahakamani, ila kwa ushauri zaidi amuone mwanasheria yeyote ili amsaidie coz kuna grounds za divorce na ujumbe wa simu hauwezi kuwa the only ground, kutolewa divorece si kitu rahisi na kama lugha inamsumbua awe wazi tutamsaidia tu kwa njia nyingine kwa sababu tunajua wote kwamba kiingereza si lugha yetu ya Taifa
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  Jul 27, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Umemtegea nini? yani text utoe talaka? tuliza kichwa, chukua maamuzi ya maana!
   
 11. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 27, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Usiwe mkali Mwiyuzi..hapa tunaeleweshana na sio kushushuana. Nimesema 'NINACHOJUA' sio lazima kiwe sahihi kutokana na source yangu...I was told that by a lawyer labda sikuelewa vizuri. Ahsante kwa ufafanuzi anyway..
   
 12. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #12
  Jul 27, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,163
  Likes Received: 1,122
  Trophy Points: 280
  nashukuru kwa michango yenu! I have just met an advocate for consultation. Samahani kwa maana sikuweka complete history ya mzozo ila nashukuru kwa michango yenu!!
   
Loading...