Naweza kuyashitaki magazeti ya shigongo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naweza kuyashitaki magazeti ya shigongo?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mulama, Jul 22, 2011.

 1. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Nimerudi nyumbani kwangu nikakuta binti yangu wa chini ya miaka 14 anasoma gazeti la Risasi jumatano namba 818 lililotoka tarehe 20 hadi 22 Julai 2011.
  Kwenye gazeti hilo nilikuta anasoma hadithi iliyoandikwa na mwandishi anayeitwa Kulwa mwaibale yenye kichwa cha habari mzee wa tinted -7.

  Nilimnyang’anya gazeti hilo kwakuwa si sehemu ya study ya masomo apaswayo kusoma nyumbani anapokuwa ametoka shule. Hata hivyo nilipoangalia alichokuwa anasoma kwenye hadithi hiyo kuna maneno yasemayo “Kutokana na Kauli ya Leah mzee matata aligundua msichana huyo hakuwahi kukutana na vionjo kama alivyompatia, ndipo alipombetua na kumlaza kifudifudi yaani akawa anatazama bambataa lake. Kwakuwa mtoto wa kike alijaaliwa makalio f’lan hivi ya kubamba, mzee huyo akaanza kuyaminya taratibu mithili ya mtu aliyekuwa akiminya embe kwa lengo la kuchagua zilizoiva vizuri”
  Kuna maneno mengine yanasema “ kwakuwa mtoto wa mwenzako ni mkubwa mwenzako, Mzee Matata hakuwa na huruma alimsulubu Leah akasulubika kweli. Mwisho wa kandanda kitandani wote waling’ang’aniana kama ruba na kutoa mihemko ya pamoja kuashiria walifika kilele cha mlima wa wapendanao”

  Yapo maneno mengi yaliyo offensive kuwekwa hadharani na kusomwa na kila lika hasa kwa magazeti ya kampuni ya global publisher inayokemea maadili mabaya kwa wasanii na watu wengine hapa nchini. Ndipo nikajiwa na wazo la kuomba ushauri je naweza kushitaki gazeti la Risasi, shigongo na kampuni ya global publisher kwa ku “expose for gain” maneno yanayoweza kuchochea mtoto wangu kuathirika ki maadili au sheria za Tanzania haziruhusu?
   
 2. K

  Kintiku JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Ni tanzania tu dunia nzima ambayo utakuta gazeti lenye habari kama hizo linauzwa bila masharti
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hapo hakuna kesi ndugu yangu. If you sue it will be what we call 'a frivolous lawsuit' and it may not even see the light of day. Cha msingi ni kuhakikisha mtoto wako hana access na content ambazo ni za mature audiences.

  Na hilo gazeti la Risasi limefika fikaje nyumbani kwako ambako una minors wanaoweza kusoma vitu ambavyo viko intended kwa watu wazima? Kabla hujakimbilia mahakamni na kupoteza muda na hata fedha zako, jiangalie kwanza.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,103
  Likes Received: 6,567
  Trophy Points: 280
  Watoto wa siku hizi wanakuwa kuliko umri wao, jaribu siku moja upitie kwenye kefu uone wanafunzi hata wa primary school walivyojazana huko ndo utajua what is going on. Wakati wewe unashangaa watoto wanakushangaa wewe ati.
   
 5. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Huku ni kama kuishitaki bunduki kwa kuua mtu na sio mtu aliyeitumia....
  Mkuu hapa wa kushitakiwa na aliyemuuzia au wewe mzazi wa kuacha mwanao akapata access ya hilo gazeti
   
 6. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Ninachoangalia ni haki ya ku publicize offensive contents bila ku edit kwakuwa it is displayed for sale je sheria inasemaje? issue ya amepataje ni irrelevant weather kanunua au kapewa it doesn't matter question is the auther is allowed in law and fact to publicize?? wanasheria saidieni hapa tafadhari.
   
Loading...