Tanzania Insurance Regulation Authority (TIRA) Kazi zao haswa nini??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wakuu wa hili jukwaa mimi nahitaji kujulishwa Hawa TIRA Nini haswa kazi zao??Nanini wanatakiwa kufanya kama mtu hajatendewa haki na Insurence's Company?
 
Back
Top Bottom