nifanyaje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nifanyaje?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by oldd vampire, Jul 23, 2011.

 1. oldd vampire

  oldd vampire JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 253
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi nina nyumba ipo iringa na mie naishi dar..sasa nikaona bora nipangishe ya irnga .nikawatafuta Majembe auction mart wanisaidie kutafuta mpangaji hiyo ilikua mwezi wa tano wakanambia wamepata mzungu ila kasema ataingia mwezi wa sita mwanzoni...mwezi wa sita ulipo fika nikaona kimya kuwa uliza wakantel nisubiri na mimi iringa siendi mara kwa mara npo huku nasoma..nimekuja gundua kuwa kumbe yule mzungu aliingia june 1st na aliwapa hela kama mil moja na ushee,aliwapa kodi ya miezi sita na mbaya zaidi nawadai ila wananpa viswahili....then walifoji na contract pia niwafanyaje jamani?
   
 2. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Washtaki
   
 3. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hao sio majembe auction ila wanajiita majembe. Binafsi naona umefanya uzembe katika kusimamia nyumba yako. Nakushauri uende iringa uongee na Mzungu. msipokubaliana, nenda mahakamani
   
Loading...