Msaada wa sheria | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa sheria

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Shark, Jul 20, 2011.

 1. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,135
  Likes Received: 7,383
  Trophy Points: 280
  habari wa jf naomba mnisaidie kwa hili maana nimejaribu kila namna lakn naona kila mmoja analiogopa, nimeweka hela zangu benki fulani kwa minajili kwamba nikizitaka nakwenda kwenye ATM's zao nakamata mshiko wangu na ndio najua ndo makubaliano yetu kwa masaa 24 ili mradi tu hela iwemo kwenye akaunt yangu, lakn cha kushangaza ni kwamba nakuta hzo mashine zao za ATM's hazifanyi kazi huku si kwenda kinyume na makubaliano hvyo inawabidi ni wa-sue mahakamani au hapo inakuaje?

  jingine ni hawa maadui wetu wa umeme Tanesco walitoa ratiba ya mgao wao wa umeme lakn kila nikijaribu kufanya mambo yangu according to their mgao wanakata muda ambao hatukukubaliana sasa hapo vp siwezi pata msaada ili iwe fundisho kwa wengine wanaofikiri nchi hii haina mwenyewe??? plz huu ni msaana ilituweze komesha hii tabia
   
 2. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  ATM:
  Japo sheria inanipiga Chenga Kidogo, Sidhani kama wewe unamkataba na Benki kuwa ni lazima upate Hela Kwenye ATM.
  Kama ATM hazifanyi kazi Chukulia Pesa Ndani.
  Kama ATM ya kwa manyanya haifanyi kazi jaribu ya Posta.

  UMEME:
  Chukua mfano wa mtu aliyekta tiketi ya basi Kwenda Mbeya na Ratiba ya basi kufika Mbeya ni saa kumi na moja Jioni, Halafu mkafika njiani basi likaharibika mkachelewa kwa Masaa sita, Je utamshataki mwenye Basi?
   
 3. S

  SEAL Team 6 JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ATM
  Kwenye maelezo au matangazo ya Bank wangewaeleza wateja kuwa huduma itategemea upatikanaji wa umeme, pamoja na kuwa na magenerator lakini bado wakati mwingine ATM hazifanyi kazi. Huduma ya 24hrs ni pulling factor ya kupata wateja huku wakiwa hawaweki wazi suala la uhakika wa Mtandao. Hivyo Bank zinatakiwa ziwalipe wateja gharama za usumbufu. Vinginevyo maandamano ni lazima hadi kieleweke!
  UMEME
  Wamiliki wa mabasi wasingekuwa wanatoza nauli kabla ya safari, naulu zingekusanywa baada ya abiria kufika mwisho wa Safari yake.
   
 4. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  Nashukuru kwanza ulianza na kitu kinachoitwa discalimer kwenye sheria (amabcho nimekibold). Katika yote mawili unaweza kushtaki ingawa kabla ya hapo kuna hatua mbalimbali za kufuata.

  Tatizo ni kwamba (for ATM) una jukumu la kuprove actual loss sustained na pia kupunguza damage that you suffered (damage mitigation). Uwepo wa ATM ya karibu unafanya proof of actual damage iwe ngumu bcoz you have an alternative around.

  As for TANESCO unaweza washtaki but the process of suing a specifed corporation kama TANECSO, TRL na TPA ni ngumu sana n time consuming.
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,135
  Likes Received: 7,383
  Trophy Points: 280
  yeah ni sawa lakn kwa suala la ATM's ni kwamba mfano nina nauli 300 ya kutoka nilipo na kwenda pale ilipo mashine nikijua kuwa baada ya pale nitachukua fedha kwenye akaunt yangu ili nimpeleke mtu hospital lakn kufika pale nakuta mashine ni mbovu hapo siwezi wa-sue maana nimeshindwa kurudi nilipotoka na mgonjwa wangu amepata matatizo yaliyosababishwa na wao na kukata mashine bila taarifa yoyote kwa mteja?
   
 6. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Duh mkuu, hii kali maana inaonekana ukimdai mtu wewe ni balaa sana.
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,119
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  Asante nimejifunza kitu.
   
 8. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,135
  Likes Received: 7,383
  Trophy Points: 280
  Kaka uko sahihi kabisa,
  sema hii nchi uwajibikaji ni zero kabisa.
  inatakiwa hata umeme unapokatika atokee msemaji wao kuomba radhi lakini haifanyiki hivyo
   
Loading...