Nataka nimshitaki mdeni wangu

mwanga mweusi

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
255
408
Mimi ni fundi ujenzi kuna jamaa namdai yeye ni fundi aliniuzia kazi sasa kwenye kunilipa ndio shida hatujaandikiana ila ushaidi wa kawaida kua namdai upo sasa naomba kujua kama naweza kumshitaki mahakamani nilienda polisi wakanambia niende mahakamani naombeni mwongozo kama ina wezekana na nipitie hatua zipi ili nipate haki yangu kazi ya ujenzi ni ngum sana ila ndio maisha au kama kuna yeyote anaweza nisaidia namna ya kufanya nilipwe anisaidie sina huruma nae kwa lolote hata mm nilifanya kazi za hatari sana ila akaona hela yangu akale na familia yake

NAWASILISHA
 
Kuna watu wake wa karibu anaowaheshimu, watumie hao kufanya nao mazungumzo ya madai, rekodi maafikiano ya hayo mazungumzo kwa matumizi ya baadae...
 
Kuna watu wake wa karibu anaowaheshimu, watumie hao kufanya nao mazungumzo ya madai, rekodi maafikiano ya hayo mazungumzo kwa matumizi ya baadae...
Tatizo anakua na kiburi hata sim hapokei
 
Ambo madogo yanayohitaji busara ya mazungumzo mezani kuliko kwenda kujaza case mahakamani fanya hivi ,kaeni muelewane mnamalizana vipi na pia hakikisha makubaliano mnayaweka katika maandishi ,ili akienda kinyume na hapo ndipo uende huko mahakamani japo kama hauko vizuri kifedha mahakamani usiende ,unaweza kuingia hasara mala 4 ya hiyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom