Taured
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 806
- 670
Habari Wanasheria mlioko humu,
Mimi nilijenga nyumba yangu maeneo yasiyo rasmi ( squatter) tangu mwaka 2014 na kuhamia , kipindi hicho hakuna barabara , umeme Wala maji.
Wanacnchi tulijichanga wenyewe na KULETA huduma MBALIMBALI kama vile barabara , maji na umeme na kipindi chote hicho hatukuwahi kuletewa habari za kwamba ukitaka kujenga uwe na kibali Cha ujenzi KWENYE MAENEO yetu.
Sasa Jana Kuna vijana wawili walivamia nyumbani kwangu na kudai nilipe 200,000/ Kwa ajili ya kibali Cha ujenzi unaondelea kwenye makazi yangu, nilaiamua kurekebisha miundombinu ya kuzuia maji yanayoharibu makazi yangu Kwa kuzungushia ukuta mdogo maeneo yanayoathirikia na mvua za Sasa,
Sasa kosa langu ni nini? Ikiumbukwe kwamba juzi kati nilidondokewa na ukuta wa jirani KUTOKANA na hizi athari za mvua!
Sasa je maeneo ya squatter nayo yana utaratibu wa kupewa VIBALI VYA UJENZI?