Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Nyaraka za kufungulia na kujibu kesi Mahakamani (Pleadings) kama vile hati ya madai (plaint) na hati ya utetezi (WSD) zinatakiwa kusainiwa na mhusika (mdai au mdaiwa) pamoja na wakili wake (kama...
1 Reactions
0 Replies
914 Views
Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo. Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello Wasomi jinsia Ke na Me, salaam. Nimefuatwa kuombwa ushauri. Binti ameolewa na jamaa yapata miaka minne sasa na wamejaaliwa mtoto mmoja. Ndoa waliyofunga ni ya kikristo. Kama mnavyofahamu...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polisi akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polisi kufungulia charge.
1 Reactions
23 Replies
9K Views
Hapa katikati Tanzania tumekua na maafa kadhaa. Kubwa kuliko yote lilikua la Hanang Manyara. Lakini leo pia kumekua na taarifa kwamba zaidi ya wanakujiji 895 kutoka katika kaya 179 za kijiji cha...
0 Reactions
0 Replies
467 Views
UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015) To make a long story short, Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeshitakiwa kwa makosa ya kuwazuia TRA. Kufanya kazi yao na pia kuhari mali ya serikali ambayo ni gari, inayodaiwa kupigwa kwa mawe japo haijapasuka hata kio ila pia wakati tukio limetendeka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya Makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha leo hii, kumeibuka maswali na mijadala mbalimbali ikiwemo, Je amepanda cheo ama ameshuka?. Hapa nitajitahidi kieleza kadiri ya ninavyo...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya...
1 Reactions
2 Replies
937 Views
Mahakama za Tanzania hazilindi demokrasia wala haki vizuri sasa ni wakati wa kujiuliza zina faida gani hasa. Imekuwa kama vile mahakama zetu ni wasomi wasiojielewa kazi yao ni nini hasa zaidi ya...
3 Reactions
4 Replies
570 Views
Mahakama za kesi za ndoa. Habari mpendwa msomaji! Leo nitatoa elimu ya Mahakama zinazosikiliza kesi za ndoa na unafikaje hapo Mahakamani. Kwa kusoma makala hii utajua mambo yafuatayo: -Jinsi...
3 Reactions
2 Replies
3K Views
Hapa juzi nilisikia viongozi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakisema wale wote wanaokiuka mfungo wa Ramadhani watachukuliwa hatua. Lazima nikiri huwa inanikera sana ninapokuwa Zanzibar kikazi...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari wanajamii, natumai mko njema. Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
Majaji 3 (MLYAMBINA, . KAKOLAKI, NA AGATHO) wa mahakama Kuu Dar wameto uamuzi huo tarehe 13/ 03/2024 kuwa kifungu cha 44(1) na 44(2) (section 44) vya sheria ya Ukomo (Law of limitation Act)...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Kuna jambo linaniumiza Kichwa sana. Baba yangu alikufa 2014, babu yangu(baba wa baba yangu) akafa 2021. Inasadikika muuaji ni mwanafamilia mshirikina; lkn hapa nataka kuleta hoja nisaidike...
2 Reactions
4 Replies
793 Views
Wadau leo wacha nianze na hii story fupi kisha nitaingia moja kwa moja katika kuconnect story hii na mada tajwa hapo juu . Ok let's start:), Ilikua ni jioni tulivu katika kijiji cha Mazingira...
1 Reactions
0 Replies
403 Views
Kuna dogo mmoja Ni ndugu yangu wa mbali! Amepatwa na hekaheka ya kutotakiwa shuleni pamoja na wenzake kadhaa! Msimamo wa mkuu wa shule ni kwamba hawawahitaji wanafunzi hao shuleni kwake, hivyo...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Naombeni kuulizia nina mkopo Bayport lkn nilipo acha kazi serikalini nikawapigia kuwauliza ni kwa namna gani nitawalipa pesa zao lkn waliniambia sipaswi kulipa kwa kuwa mkopo ulikuwa issued...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom