UWT Yajikita Katika Kutoa Msaada wa Kisheria kwa Wanawake Nchini

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942

📌 UWT YAJIKITA KATIKA KUTOA MSAADA WA KISHERIA KWA WANAWAKE NCHINI.

📍Dodoma

Mwenyekiti wa UWT Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) ameielekeza kamati ya Haki na Sheria ya UWT inayoongozwa na Mhe. Zainab Katimba (Mb) kuhakikisha wanatoa msaada wa kisheria kwa wanawake wenye changamoto mbalimbali nchini.

Aidha hatua hii ni matokeo ya mpango wa kuanzishwa kwa kitengo mahususi cha msaada wa kisheria UWT Makao Makuu.

UWT itaendelea kusimama na wanawake katika changamoto mbalimbali wanazozikabili na kuhakikisha haki inatendeka kama ilivyo dhamira ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

#Uwtupdates

#UWTIMARA
#JESHILAMAMA
#KAZIIENDELEE
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2024-02-20 at 08.29.45.mp4
    8.6 MB
Back
Top Bottom