Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria...
Wadau kunamtu aliajiliwa na kupewa fixed one year contract.
Mkataba WA kwanza ulipoisha akaopewa mwingine wa mwaka mmoja ukiwa na amajukumu ya ziada.Baada ya kupewa mkataba wa pili ,baada ya...
Wadau Wanasheria naomba msaada wenu juu ya hatua za kuichukulia Halmashauri iliyokataa kutekeleza HUKUMU ya MAHAKAMA KUU ya Mgogoro wa kiwanja.
Baada ya Kushinda Kesi nilimwandikia Mkurugenzi wa...
Jamani kuna taratibu gani za kufuata kisheria iwapo umebakiwa mtoto asiye wako ukahudumia kuanzia mimba mpaka mtoto kuzaliwa ukaendelea kuhudumia halafu baadae ukaambiwa mtoto siyo wako.
Je, kuna...
Je unaweza kuomba temporary injunction/ stop order (zuio) wakati kesi iko kwenye hatua ya rufaa?
Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (Civil Procedure Code/ CPC) unaweza kuomba zuio...
Wadau wa Masuala ya Mirathi naomba ufafanuzi juu ya hili. Je, Sheria inasemaje juu ya Mtoto aliyepatikana NJE ya NDOA je ana HAKI ya Kurithi MALI zilichochumwa na WANANDOA hao?
Mtu akikufanyia fujo na kukujeruhi kwa kutumia silaha (Chupa za soda zilizovunjwa) unatakiwa kufanya nini baada ya ya kumfikisha kituo cha polisi?
Je, hii ni aina gani ya case?
Habari, leo nakuletea makala fupi kuhusu dhamana kwa mujibu wa Sheria za Tanzania.
Kwa kusoma makala hii utajifunza mambo yafuatayo:
(i) Utajua maana ya dhamana
(ii) Msingi wa dhamana kisheria...
Salaam wakuu!
Wanajamvi nilifungua shauri la madai katika mahakama ya mwanzo dhidi ya bwana mmoja jirani yangu ambaye alionekana kuwa mgumu kunilipa pesa yangu niliyomkopesha mwaka juzi 2022!
Huyu...
Jambo la kwanza kabla ya kuamua kushtaki au kufungua kesi Mahakamani hakikisha una miguu ya kusimamia Mahakamani, kisheria tunaita LOCUS STANDI.
Locus standi ni neno la kisheria lenye asili ya...
Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu.
Pesa yenyewe...
Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari.
Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili...
Kuna binti alikuwa na ujauzito wangu. Alitarajiwa kujifungua December hii (makadirio yalikuwa tar. 7).
Nimeona muda unazidi kwenda kimya nikauliza akaniambia mimba ilitoka mwezi wa 9. Sina...
Habari wana JF, ni matumaini yangu wote mko sawa, nadhani hii ni mara ya kwanza kupost hapa ubaoni ninaombeni msaada maana nimeshindwa hata kulala yaani.
Labda nielezee hivi, sisi ni wakristo...
Nyaraka ikishapokelewa kama kielelezo Mahakamani, inatakiwa yule shahidi aliyeleta hicho kielelezo asome kwa sauti kilichomo ndani ya hicho kielelezo mbele ya Mahakama, ili upande wa pili kwenye...
PONGEZI sana Kwenu ninyi Wanasheria ambao mnajitambua kuwa nanyi mmetoka katika MAISHA ya kawaida na wengine kutoka katika MAISHA nafuu na mkabahatika kusoma iwe Kwa shida au Kwa raha na...
Ndugu wanasheria, rafiki yangu anaomba msaada wa kisheria ili apate haki yake.
Alichukua mkopo bank na kuweka gari yake kama dhamana, ila kwa bahati mbaya akachelewesha marejesho mpaka dhamana...
1. Hukumu hii ni halali kabisa according to my legal observation. Reasoning ya waheshimiwa majaji iko correct...time barred serving of legal documents to respondents. under the following...
Hii ni elimu kwa Umma, Karibu sana kujifunza
Mara nyingi migogoro ya mirathi huanza pale mwenye mali anapofariki, na ni mara chache sana kuona viashiria ama hatari ya kuwapo kwa mgogoro wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.