Nataka nikamshtaki jamaa mmoja baada ya kumpa simu yangu leani kwa elfu20.
Akaniambia angetoka na kurudi baada ya cku kumi, lakni jamaa alikaa hadi cku 30.Alipo fika jamaa hakuwa na cm zaidi ya hapo nikaambulia swaga za kila cku.
Na risit ya ile cm ninayo, nataka nikamshtaki ili anilipe cm yangu ntafanikiwa? je nianzie polisi au ofisini? wakuu? naomba msaada wa kisheria.