HPAUL
JF-Expert Member
- Jan 18, 2011
- 410
- 567
Ndugu wanabodi naomba ushauri wenu wa kisheria kuhusiana na kichwa cha habari hapo juu. Kuna jirani yangu ameweka gereji bubu katika maeneo ya makazi ya watu, ambapo sasa sisi wakazi tunaathirika na makelele na hewa chafu.
Ni wapi ambapo sisi wakazi tunaweza kupeleka mashtaka yetu kuhusiana na uchafuzi wa mazingira, sisi ni wakazi wa Kimara, wilaya ya Kinondoni
Ni wapi ambapo sisi wakazi tunaweza kupeleka mashtaka yetu kuhusiana na uchafuzi wa mazingira, sisi ni wakazi wa Kimara, wilaya ya Kinondoni