Kampuni bora za mawakili Tanzania (Top 10)

Mahakama

New Member
Jun 11, 2016
2
1
Kumekuwa na kampuni nyingi sana za mawakili (Law Firm) Tanzania. Ila zifuatazo zitabaki kuwa Law firms kubwa ziku zote na zenye huduma bora Tanzania.


1. FB Attorneys – Dar Es Salaam

2. Mawalla Advocates – Arusha - Main Office / Branch – Dar Es Salaam

3. Rex Attorneys – Dar Es Salaam

4. IMMA Advocates – Dar Es salaam

5. Mkono Advocates – Dar Es salaam

6. Asyla Attorneys- Dar Es Salaam

7. FK Law Chamber – Dar Es Salaam

8. Clyde & Co LLP’s – Dar Es Salaam

9. Law Associates – Dar Es Salaam

10. Ako Law Chambers Dar Es Salaam
 
Ya akina Tundu Lissu ni ipi kati ya hizo?
Maana kila wakisimama na serikali ni lazima washinde tu!!
 
11-Lamwai & Co Advocates- Dar

12-Marando & Mnyele Co Adv-Dar

13-Nothern Law Chambers -Arusha

14-Kipoko Advocates -Kilimanjaro

15-Meleta & Ndumbaro -Songea

16-Kariwa & Co Adv- Dar es salaam
 
Back
Top Bottom