Msaada wa haraka wa kisheria unahitajika..

Keng'oni

Senior Member
Dec 30, 2013
183
147
Wasaalam..
Habari ya wakati huu wan JF..
Naomba kupata msaada..
1. Ikiwa Hakimu amekataa kusaini hati ya hukumu ni nini naweza kufanya kisheria
2. Mda wa rufaa wanaanza kuhesabu toka siku ya hukumu ama toka siku iliyosainiwa hati ya Hukumu..
3. Ni siku ngapi unapewa kukata rufaa
Naomba kuwasilisha..
 
...hiyo kesi yako ipo mahakama ipi, maana muda wa wa kukata rufaa hutegemea na nature ya kesi/mahakama.
kwanini amekataa kusaini hati ya hukumu?
 
Back
Top Bottom