Mahakama ya mafisadi Kwa Katiba ipi?

Nikiwa napongeza wazo la kuwa na Mahakama ya Mafisadi najiuliza itafiti kwenye Muundo Upi katika Muundo wa Mahakama tulizo nazo Kikatiba?
58e401cd96b507ecdcbcdf2db711a979.jpg
 
sidhani kama kuna umuhimu katiba kuanzisha au kuwa na article yake...hii itakua mchepuko wa Mahakama kuu kama ilivyo Land..labour na commercial divisions of the high Court
 
Hii mahakama ya mafisadi imeshajengwa Kigamboni,ni division of high Court,

Jurisdiction yake itaanza na 1 billion,below that you go to Normal Court .

Judges watakuwa watatu.

Mwezi wa saba tar 1 inaanza.

Tukae mkao wa kula
 
Back
Top Bottom