conc acid JF-Expert Member Mar 7, 2014 728 439 Jun 15, 2016 #1 Hivi ni marufuku kisheria kumuongezea mshahara mfanyakazi akiwa kwenye probation?
G'taxi JF-Expert Member Sep 15, 2013 6,623 8,635 Jun 15, 2016 #2 conc acid said: Hivi ni marufuku kisheria kumuongezea mshahara mfanyakazi akiwa kwenye probation? Click to expand... Binafsi sina hakika lakini utaongezwaje mshahara na bado uko kwenye matazamio?nadhani siyo rahisi
conc acid said: Hivi ni marufuku kisheria kumuongezea mshahara mfanyakazi akiwa kwenye probation? Click to expand... Binafsi sina hakika lakini utaongezwaje mshahara na bado uko kwenye matazamio?nadhani siyo rahisi
conc acid JF-Expert Member Mar 7, 2014 728 439 Jun 15, 2016 Thread starter #3 G'taxi said: Binafsi sina hakika lakini utaongezwaje mshahara na bado uko kwenye matazamio?nadhani siyo rahisi Click to expand... Sawa mkuu, ngoja tusubiri wenye uhakika waje
G'taxi said: Binafsi sina hakika lakini utaongezwaje mshahara na bado uko kwenye matazamio?nadhani siyo rahisi Click to expand... Sawa mkuu, ngoja tusubiri wenye uhakika waje