MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Nimesikia Leo kuna taasisi moja itazindua taarifa rasmi ya unyanyasaji wa ngono na ulawiti
Na mama mmoja Umetoa ushuhuda kuwa mtoto wake mdogo alikuwa anatoa uchafu na kutembea vibaya akiwa ana muogesha akawa anatoa uchafu.
Baada ya kumuuliza sana mtoto ndiyo akasema amefanyiwa na Mjomba wake wa miaka 20.
Lakini alipompeleka hospital na polisi akaambiwa hakuna ushahidi wowote huku mtoto akiwa ameumizwa.
Je kisheria imekaaje hiyo.