Kwa makato haya ya HESLB, naweza kuwashtaki?

Asovene

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
213
216
Kwa msaada wa kisheria tafadhari,nimesaini mkopo wa elimu ya juu kwa lipa ya asilimia 8 je nikikatwa zaidi ya hapo naweza kuwashitaki bodi ya mikopo ya elimu ya juu??
 
h

uwezi kwa sababu ile fomu uliyosini wakati unaomba mkopo haina asilimia wala haijataja asilimia ya kukatwa, ila iko hivi mdaiwa ataanza kurejesha mkopo mwaka mmoja baada ya kumaliza masomo.
Mkuu, ipo sehemu inayo onesha asilimia utakayokatwa labda ya kwako ndio haina lakini ya kwangu ipo
 
Mliobahatika kupata mikopo ni wakati wenu nanyi kuona machungu tulioyapata wazazi tuliosomesha watoto kwa kuuza kila tulichokuwanacho baada ya watoto wetu kukoswa, na hatuna pa kushitaki.
 
Kwa Tanzania huwezi kuishtaki serikali...
I wish I could be JAJI MKUU
 
Kwa msaada wa kisheria tafadhari,nimesaini mkopo wa elimu ya juu kwa lipa ya asilimia 8 je nikikatwa zaidi ya hapo naweza kuwashitaki bodi ya mikopo ya elimu ya juu??
unaweza, sana tuu, hapa ni kuungana
 
Akili zako kama avatar yako...amekwambia hataki kulipa??
Wewe si unalalamika kuashiria kuwaa hauko Tayar kulipa, umesahàu kipindi kile mnaandamana kudai boom iongezwe? Unadhani pesa hiyo ilikuwa ya babu yako?.sipendagi ujinga mie ebo.
 
Mliobahatika kupata mikopo ni wakati wenu nanyi kuona machungu tulioyapata wazazi tuliosomesha watoto kwa kuuza kila tulichokuwanacho baada ya watoto wetu kukoswa, na hatuna pa kushitaki.
Kumbe we $muzazi $ ulikuwepo kabisa, wengine hawakuwanao wazazi kama ulivyokuwa mzazi ww. Hivyo ushukuru kupata Fursa ya kumsomesha mwanao. Kuliko huyu yatima aliyekuwa hana pa kushika toka akiwa primary
 
Haya bhaana dawa ya deni ni kulipa, ugulia kimya kimya
 
h

uwezi kwa sababu ile fomu uliyosini wakati unaomba mkopo haina asilimia wala haijataja asilimia ya kukatwa, ila iko hivi mdaiwa ataanza kurejesha mkopo mwaka mmoja baada ya kumaliza masomo.
Usipotoshe watu, asilimia ipo bana!!
 
Sasa kama kuna wanasheria wanakatwa na wametulia tuli. Ndugu yangu sijui utafanyaje.
 
Back
Top Bottom