Sheria za kazi kuhusiana na siku za kupumzika

mjax

Senior Member
Oct 17, 2012
177
62
Habari ya kwenu wandugu,

Nina shida moja na ningependa kujuzwa kuhusu sheria za kazi na siku za kupumzika kwa wiki, Je ni lazima kupumzika siku za kazi (jumatatu-ijumaa) au jumapili. Na je inapokuwa ni lazima kwa mfanyakazi kuingia Jumapili ni lazima kuingia jumatatu au ijumaa ili kufidia Jumapili ili kufidia.

Na mwisho kabisa "if normal working days for a company is from monday to friday 08:30-17:30 and Saturday is from 08:30-13:30" Hapo unambana vipi mwajiri ili upumzike Jumapili au sheria za kazi zinampa uhuru kukubadilishia siku ya mapumziko..........??
Msaada wandugu
 
Aisee mimi nimejaribu kusoma uzi wako nimerudia mara mbili lakina bado nashindwa kukuelewa unachotaka hasa ni nini.Labda mimi ni wa kolomije ngoja wenye vyeti vyao waje.
 
Mkataba wako wa kazi au VA ya Union yenu inasemaje kuhusu muda wa kazi?
 
Back
Top Bottom