Ndera
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 653
- 548
Habari, Wakuu.
Naomba kujua kama ni jambo la kawaida Mwajiri kukushusha cheo, pasipo kumshirikisha mwajiriwa kwa barua, badala yake unakuta job title yako imebadilika ktk salary slip, japo kuwa mshahara haujabadilika. Endapo si sahihi ni hatua zipi zinanapaswa kuchukuliwa.