mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 98
Nina mdada na ni rafiki yangu sana nimejuana naye toka mwaka 2006
Wakati nafahamiana naye tayari ni mwathirika wa UKIMWI.
Tatizo la huyu rafiki yangu anabadilisha wanaume kila Siku
Kila nikimuuliza ananiambia wanajileta wenyewe kwa hiyo yeye anaendelea kuwachinja.
Kumbuka anaendelea kula ARV
Je huyu Dada kutoka kondoa havunji sheria za nchi? Msaada wanajamvi