Naomba msaada wa kisheria katika hili la vyeti feki

singojr

JF-Expert Member
Oct 28, 2014
5,312
6,895
Wataalamu wa sheria naomba mnisaidie
1. Kosa la identity theft.
2. Kosa la kunadanganya rais adhabu yake ni ipi?
3. Kosa na kufoji cheti adhabu yake ni ipi?
4. Kosa la kufoji passport adhabu yake ni ipi (kama mtuhumiwa aliwahi kusafiri nje ya nchi).
5. Kosa la kujua details za kiusalama wa Taifa(ukiwa kama mkuu wa usalama) hali sio muhusika.
6. Kuamrisha jeshi la polisi hali huna cheo.
 
Back
Top Bottom