Kesi ya Viroba,Hukumu yake ikoje.!!

alexmahone

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
482
406
Hlw kwa wajuzi wa sheria
Naomba tupeane elimu kidogo katika hili suala ambalo serikali imetilia mkazo juu ya kufungia kinywaji cha Viroba.
Nimewahi kusoma juu ya yule bosi wa Ze utamu kuwa pamoja na kukamatwa kule Marekani na kuletwa Tz lakin alishinda Kesi dhidi ya Jamhuri kwakuwa sheria ya mitandao haikuwa imepitishwa katika nchi yetu.

Sasa katika hili napenda kujua, kuwa atakayekamatwa kutumia au kuuza Viroba atashitakiwa kwa sheria ipi..!?
 
Serikali imepiga maarufu viroba ndiyo tamko la serikali kinachofuata ni utekelezaji wa tamko.

Ukipelekwa mahakani ndiyo utajua sheria itakayotumika
 
Back
Top Bottom