Kufungua mashitaka: Kiongozi /mtumishi wa serikali kumiliki vyeti feki

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,633
2,297
Habari za humu ndani. Je, mimi kama raia wa Tanzania nina weza kumfungulia mashitaka ya watu fulani /mtu fulani mahakamani ikiwa nina uelewa kuwa fulani /watu fulani kuwa vyeti wanavyomiliki ni feki.? Mfano, raia wamepiga kelele na mamlaka husika ipo kimya kuhusu mtumishi fulani /watu fulani wana vyeti feki. Je, mahakama ikilazimisha mamlaka husika kufanya uchunguzi, na ikithibitika kuwa ni vyeti feki, sheria inasemaje? Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom