hakiyako
Senior Member
- Aug 24, 2014
- 162
- 67
Wandugu, kama kuna mtu mwenye copy ya hukumu ya mh. Godbless Lema hiyo wanayosema imetolewa Arusha kuhusiana na dhamana yake, ambayo wanasema mawakili wa serikali/dpp wameambiwa kuwa wanainajisi sheria, TUNAOMBA MUIWEKE HAPA. nina uhitaji nayo sana tafadhali.