Nataka kulima bangi kwa ajili ya exportation only. Je sheria zinasemaje?

Window7

JF-Expert Member
Sep 17, 2013
4,098
3,038
Wataalamu wa sheria naomba msaada, je ni halali kisheria nikalima bangi nchini kwa ajili ya kusafirisha nchi zilizo halalisha matumizi ya bangi?

Ikumbukwe kwamba nina uhakika 100% kwamba bangi hiyo haitatumika nchini kwa kiwango chochote na nitakua tayari kusaini mkataba wowote kiserikali kulinda hilo.

Ninachohitaji ni exportation tu na hii ni fursa kubwa kwangu.

Naombeni msaada wanasheria wasomi.
 
Hiyo ni sawa na kutengeneza filamu za ngono nchi za kiarabu ukauze nchi wanazoruhusu watakupiga mawe tu mkuu.,sheria ya madawa ya kulevya inakataza kushiriki kwa namna yoyote kuzalisha,kusambaza na kutumia
 
Wataalamu wa sheria naomba msaada, je ni halali kisheria nikalima bangi nchini kwa ajili ya kusafirisha nchi zilizo halalisha matumizi ya bangi?

Ikumbukwe kwamba nina uhakika 100% kwamba bangi hiyo haitatumika nchini kwa kiwango chochote na nitakua tayari kusaini mkataba wowote kiserikali kulinda hilo.

Ninachohitaji ni exportation tu na hii ni fursa kubwa kwangu.

Naombeni msaada wanasheria wasomi.
e8071ea6afd5fee518546776b10e4488.jpg
.
Soma hapo
 
Lima tu wakija waambie ni mchicha au chakula cha sungura ,inalipa nchi zilizo halalisha
 
Back
Top Bottom