Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,743
- 239,384
Haya yanayotendwa na Askari wa usalama wa barabarani , kukamata na kuhukumu na kisha kuwaandikia faini " wahalifu " wa makosa ya barabarani yana uhalali wowote ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba askari wamekuwa mahakimu na pia ni watoza ushuru wa kutegemewa ,
Hatimaye sasa Kumiliki gari ndani ya Tanzani kumegeuka kuwa laana .
Naomba wanasheria wanisaidie kama hukumu kama hizi zaweza kutolewa popote na yeyote bila kuhusisha Waheshimiwa Mahakimu .