Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mahitaji Ukwaju 2 paketi Chumvi kiasi Tende 1/4 kikombe Pilipili mbichi 1 Namna ya kutayarisha Toa kokwa ukwaju kisha roweka na maji moto. Chambua tende utoe kokwa weka kando. Tia vitu vyote...
3 Reactions
13 Replies
9K Views
Kinywaji cha viungo: Hiki ni kinywaji chochote ambacho kimetengenezwa kwa kuwekwa viungo. Kinywaji hiki kinaweza kuwa cha moto au cha baridi. Kinywaji cha baridi kinapotengenezwa, yatumike maji...
5 Reactions
9 Replies
25K Views
Habarini Wakuu. Leo nataka tupeane mawili matatu ya namna ya kupika kwa kutumia nazi hapa haijalishi nazi iwe ni ile ya kukuna mwenyewe au zile zinazouzwa madukani. - Je unaandaa tui lako katika...
29 Reactions
331 Replies
30K Views
Habarini Wakuu. Ni muda kidogo kuna nyumba moja niliwahi kufika, hiyo nyumba si nyumba kubwa sana ila sebule ni kubwa hivyo mwenye nyumba akaamua kutenga sehemu ambacho ameweka meza ya kulia...
9 Reactions
42 Replies
15K Views
NAMNA YA KUPIKA DAGAA+NYANYA CHUNGU+NAZI: RURAL OR URBAN STYLE Hawa ni wale dagaa wa kigoma lakini wadogo wadogo sana, wachambue vizuri kwa kiasi utakacho kupika, halafu uwaoshe vizurii wasiwe na...
7 Reactions
26 Replies
41K Views
Mahitaji Nyama ya ng’ombe 1/2 kilo Maini 1/2 kilo Figo 1/2 kilo Vitunguu viwili vikubwa Pilipili hoho tatu Pilipili kali unazoweza kula Limao Chumvi Uduvi kikombe cha chai Jinsi ya kupika Osha...
3 Reactions
34 Replies
8K Views
Natumia karanga kama breakfast, lunch hadi dinner, Natafuna ziwe mbichi, au kavu zote twende ingawa napendelea zaidi zilizokaangwa nashushia na maji,chai,juice au soda habari inakua imeisha
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Naomba msaada kwa yoyote ajuae jins ya kutengeneza fondant
0 Reactions
16 Replies
21K Views
Utangulizi Keki hutengenezwa kutokana na unga wa ngano, mafuta, mayai na vikolezo mbali mbali. Kuna Keki za aina mbalimbali kulingana na umbo, ukubwa vikolezo n.k. Aina za Keki pia hutegemea...
4 Reactions
3 Replies
30K Views
Kama ilivyo ada Leo ilikuwa siku nzuri ya kuonyeshana nani zaidi kwenye mapishi hasa msosi pendwa PILAU aka wali mchafu.. Haya fuatilia mapishi yangu yalivyokuwa.. MAHITAJI YA MAPISHI 1) MCHELE...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna mengi hatuyajui na mengine tunafanya tu bila kuelewa athari zake, kubwa na ndogo. Ulishawahi kula kwa mfano nyama ya ngo'mbe hasa hizi za supermarket? Ambazo ni mahususi kwa ajili ya kufugwa...
4 Reactions
40 Replies
7K Views
Naomba mwenye ujuzi na uzoefu wa namna ya kutengeneza maandazi ya biashara. Lengo ni kuuzia maduka madogo madogo yanayonizunguka mtaani. Natanguliza
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Anaitajika Mpishi mwenye uzoefu mkubwa wa kipika chakula cha kiafrika kwaajiri ya mgahawa ulioko block 41 Kinondoni. Nitumie msg DM kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hellow team, Naomba mwenye ufahamu jinsi ya kutengeneza juisi ya tende anielekeze hatua moja mpaka nyingine. Asante
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Nini maana ya neno makange? Sie watu wa bars hata redio zetu kazi ni kupiga nyimbo za Diamond tu hawana vipindi vya lugha hivyo ninalisikia tu ila silielewi
0 Reactions
12 Replies
10K Views
Natumai mko sawa wakuu.. Haya naomba kwa mwenye kujua anijuze ..black beans...ndio nini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo jikoni tunaandaa choroko za kupaaza, twende pamoja Vipimo: Choroko za kupaaza - 1 kikombe kikubwa (mug) Kitunguu maji - 1 kimoja Binzari ya manjano ya unga - 1/2 kijiko cha chai Kitungu...
4 Reactions
4 Replies
4K Views
Kifaa hiki ni kawaida kukikuta kwenye majiko hasa ya wenye nazo. Jiwe hili licha ya kuwa ni urembo mzuri pia hudumu kwa miaka mingi. Historia inatuonyesha walioanza kutumia jiwe kupondea viungo...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Assalam alayqum, Jamani ni matumaini yangu mko salama. Naombeni kujuzwa/ kufahamishwa namna ya kuandaa mbegu za maboga zichanganywe kwenye uji wa mzazi. Nazifanyaje baada ya kuziosha? Je...
2 Reactions
10 Replies
11K Views
Back
Top Bottom