Mimi binafsi naona mapishi ya aina hiyo hayafai kwakuwa radha ya Tangawizi si nzuri kwa vyakula ila vinywaji mara mia nitumie kitunguu swaumu kwenye mapishi ya mboga.
Vipi wadau wa Chefs...
Mimi napenda sana nyama hasa iwe ya ng'ombe, mbuzi kuku, samaki, kima. Ilimradi nyama tu iwe tamu na siwezi kuichoka.
Mfano nyama ya ng'ombe nitakunywa supu asubuhi mchana na ugali au wali na...
Helow wakuu
Msaada,,nataka kujua namna ya kufanya vitafunwa vikae bila kuharibika kwa muda mrefu,vitafunwa kama maandazi ,,mfano kama yanayouzwa supermarket,,yanawekwa nini ili yasiharibike...
Mambo zenu wakuu leo nitafundisha jinsi ya kupika ugali.
Fuata Steps Hizi
MAHITAJI
Maji,unga wa sembe/Dona + Sufuria,Ubanio,Mwiko na jiko la aina yoyote mkaa au umeme au gesi..
Step 1
Sikia...
Mimi sio mpenzi wa mayai au ndege aitwaye kuku kabisa. Lakini nimekuja kugundua chakula chochote kukipenda au kutokukipenda inategemea na kilivyopikwa na kilivyotayarishwa.
Sipendi mayai yawe ya...
Naomben msaada sina friji, nataka niwe nahifandhi nyama ya kuku at least ifike siku nne mana niko peke angu siwez mmaliza wote, pia suala la bajeti.
Shukran
Miongoni mwa mboga za majani ninazopenda ni pamoja na tembele, leo ngoja niwashirikishe jinsi ya kuyapika matembele.
Pishi hili ni kwa wale wenye Maisha ya kawaida kabisa ambao tunapika bila...
Ni swali na wale wenye uelewa mpana naomba msaada. Nimejaribu kusoma various articles kuhusu hawa samaki wawili, Salmon anayepatikani baharini na Nile perch yupo ana high concentration ya Omega 3...
Mimi nikienda mahala na kupewa ugali na mboga yoyote ila kama kwenye hiyo mboga hakuna mlenda basi kwangu naona kama nimekula chakula ambacho hakijakamilika.
Nikiwa nyumbani nimeamua kujipikia...
Habari wapendwa!
Hapa naomba ku sharevaina nyingine ya chakula cha ki- bachelor na cha fasta kidogo.
Naamini sio muda wote unakua na mood ya kupika ila unakuta una nenge/gwanda/njaa na...
JUISI YA NDIZI MBIVU
NDIZI ni zao linalotokana na mgomba, zao hili likiwa bichi hutumika kama chakula na likiwa limeiva (ndizi mbivu) hutumika kama tunda ambalo wakati mwingine hutumika...
Habarini wana JamiiForums,
Natumaini mu wazima rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni kijana wa chuo ninaejihusisha na biashara ndogondogo kama kuuza karanga nyekundu ,visheti, kashata na...
MAHITAJI
Unga wa ngano 1kg
Maziwa ya nido vijiko viwili vya chakula
Blue band vijiko viwili vya chakula
Mafuta ya kupikia nusu lita
Nazi moja pia unaweza tumia nazi ya pkt
Chumvi kijiko kimoja...
Mimi msela bachela niko ndani njaa inaniuma na hakuna sehemu nzuri ya kula karibu na home.Ni nani anatoa huduma ya delivery ya chakula kizuri cha asili kama ugali, wali, ndizi, nyama ya ngombe...
Habari, leo tupike kidogo kababu za nyama ya mbuzi
MAHITAJI
• Nyama ya mbuzi nusu kilo
• Dania 1iliokatwakatwa
• Kitunguu saumu pamoja na tangawizi vijiko 2 vya chai
• Garam masala(dawa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.