Asante mkuu, mie naomba kujua hizo karanga ni zile mbichi au zinakaangwa kisha zinasagwa? Tafadhali mkuu ongezea hapo, natanguliza shukrani nyingiMahitaji.
Tende.
Maziwa.
Karanga.
Habat soda.
Asali...
Tende unatoa kokwa then unasaga kwa blender .
Ukichanganyika unatia Habat soda na asali .