Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Niliangalia jinsi wapishi wa Mtwara, Lindi, Morogoro walivyokuja na vitu asilia nikaangalia promo anayoitoa chef cook Mr Urio ,nawahakikishia mshindi wa kwenda South Africa kati ya wanne wawili au...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mahitaji: Ndizi za kupika(ndizi bukoba) kubwa 5.Menya,kata katikati ukipenda Viazi ulaya 4 vikubwa.kata katikati kwa urefu Nyama kilo 1.chemsha adi iive Nyanya 4 kubwa.sugua au saga Nyanya ya...
6 Reactions
9 Replies
17K Views
Kila nikipika keki wanaokula wananiambia haijachambuka ila uiva vizur tu na muonekano wake mzuri naomba kujua tatizo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijui kama nipo jukwaa sahihi au lah. Naomba kuuliza kama kuongeza sukari kwenye maziwa fresh hauwezi kupunguza ubora wa maziwa? Kwan hata maziwa mgando yakiwa yameganda kabisaa ukiweka tu sukari...
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari wana JF Chef.... Kuna hii mada nimekutana nayo nikaona ni vyema nikashare nanyi... Ni ndefu ila ina ujumbe mzuri sana!!! Karibuni Najua wengi mnaifaham Baking soda au Bicarbonate of soda...
34 Reactions
58 Replies
85K Views
Bamia za kukaanga na mafuta,Hapo naongeza na nyanya. Mimi hupenda na Ugali. Bamia za Kuchemsha[Mrenda] Waungwana hivi ni kwanini mboga hii ya Bamia Wanaume wengi Hawali/Hawaipendi? Jee...
6 Reactions
58 Replies
33K Views
Ninasoma saana humu ila mwezenu napenda kula local food Mfano chai nasindikiza na maboga mamung'unya mahindi ya kuchemsha viazi Karanga nk Kwa kawaida hivi hua vinahitaji maji tuu chumvi mzigo...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari za muda huu wana JF. Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia afya njema hadi muda huu. Napenda kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki walioondokewa na wapendwa wao...
32 Reactions
240 Replies
24K Views
Jitazame wewe mwenyewe. Je, unaingia kwenye aina ipi kati ya hizo hapo chini? Mimi niko namba 3 japo kuna wakati huwa nadondokea namba 2 pia
2 Reactions
36 Replies
7K Views
wakuu habari za jumapili nilkuwa nauliza hivi pressure cooker isiyotumia umeme ipi nzuri kati ile ya mshikio mmoja na ile yenye mishikio miwili ina filimbi mbili na ipi imara sasa me ninayo hii ya...
1 Reactions
35 Replies
16K Views
Jamani mimi ni mweupe kabisa kwenye kupika, hivyo basi naombeni mnisaidie jinsi ya kutoa pilau zuri maana nategemea kuanza kuishi geto hivi karibuni asanteni
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wananzengo bila kupoteza muda poleni na Na Majukumu yenu Ningeomba kujua ni kwa Maeneo ya MOSHI & DAR ni Sehem gani (Organization) Wanatoa FIELD Assistance nzuri kwa Career ya Human Resource...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kula matunda na mboga fresh ni nzuri kwa afya yako lakini kuna vimelea vinavyoweza dhuru afya yako. Jifunze dondoo za usalama wa chakula ufurahie chakula chako. ☞Matunda 🍓🍎🍉🍌na 🥬🥗 huongeza...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari zenuuu...hata Mimi nilihangaika kweli kujifunza mapishi ya ubuyu...haki..nilishaharibu sukari yangu Mara kibaooooo lkn ckukata tamaa! Sasa ni hiviii Mahitaji: Sukari kilo moja Ubuyu vikombe...
3 Reactions
12 Replies
18K Views
hello wapenzi mnaopenda kula vizuri Leo nataman tushee hili tunda la stafeli !ni tunda pendwa na adimu kias chake !tumezoea kutengeneza juice za maembe,nanasi,parachichi hebu leo tutengeneze...
8 Reactions
119 Replies
52K Views
Mahitaji Viazi mbatata 4 Cabbage 1/2 Carrot mbili Vitunguu maji viwili Pilipili ukipenda Chumvi Jinsi ya kupika, Viazi vikate vidogo sana Kata mboga zote Weka mafuta kwenye stir frayer Anza...
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Wanajamvi habari za leo? Poleni sana na majukumu ya kujitafutia kipato Lakini poleni sana kwa ndugu walipoteza wapendwa wao kwa ajali ya moto huko Morogoro. Leo napenda kupata maelezo ya kutosha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimebahatika kutembea nchi kadhaa Europe, Asia and Americas; pia ni mpenzi wa kutazama vipindi vya mapishi kwenye dstv ch 175. Ambacho nimejifunza ni tofauti ya dhana nzima ya mlo kwa nchi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari, Ningependa kujuzwa dhana halisi ya mlo kamili. Ili binadamu awe amekula mlo kamili yampasa azingatie ama ajumuishe vyakula vya aina gani. Najua kama kuna makundi tofaut ya vyakula kama...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom