Kuna madhara gani kula karanga kwa wingi?

April Jr

Senior Member
Mar 27, 2019
144
500
Natumia karanga kama breakfast, lunch hadi dinner,

Natafuna ziwe mbichi, au kavu zote twende ingawa napendelea zaidi zilizokaangwa nashushia na maji,chai,juice au soda habari inakua imeisha
 
Top Bottom